Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu mwenye habari za haya majimbo muhimu sana atupe habari zake, nina hamu kuona Kahama na Bukombe yakiwa kwetu, Viva Chadema. Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Igunga 35674 ROSTAM Maona CUF 11321 CCM 24 KATA NA 2 CHADEMA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapiga kura 147 Urais CCM -72, CHADEMA - 71, CUF - 3, NRA, TLP & APPT - 0. Uubunge CCM - 60, CHADEMA - 72, CUF - 8, NCCR - 0, TLP - 1. Diwani CCM - 64, CHADEM - 64, CUF - 19
0 Reactions
225 Replies
36K Views
Malaria Sugu upo? Tumemaliza kazi kwa Mnyika. Sasa tunakwenda kwa dada yetu Halima James Mdee. Mwaka huu utaisoma
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Mpambanaji Mnyika ashinda Ubungo---details baadae Source ITV
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari toka very reliable and internal source ni kwamba, mgombea wa CCM ameshindwa kwa mgombea wa CUF lakini hataki ku-sign form za matokeo. Ilifika wakati akataka kumhonga mgombea huyo wa CUF...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yanatangazwa live kupitia 98.0 wapo radio fm.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunajifunza nini kutoka NEC? Nchi jirani zinajifunza nini kutoka NEC? Dunia je?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa njiani kutoka nyumbani (Ukonga) kuja kazini (Ubungo) yalipita magari matano ya FFU yakielekea Ubungo. Bahati nzuri kiti nilichokaa alikuwepo mwanaharakati wa Chadema, akawa akapigiwa simu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr Slaa, Kwanza kabisa, Asante sana kwa kazi nzuri uliyotufanyia watanzania mwaka huu. Mafanikio ya vyama vya upinzani katika ngazi za udiwani na ubunge yamechangiwa kwa kiasi kikubwa sana na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hatimaye Mnyika atangazwa kuwa mbunge wa ubungo officially.! na kujaribu kuepusha vurugu kutoka kwa wanachama wa CHADEMA waliofurika huko mabibo wakisubiri matokeo hayo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sasa hivi kwa shinikizo kutoka kwa waangalizi ni kwamba Mnyika kashinda ubungo na pia mdee kashinda Kawe habari ndo hiyo
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Mimi napendelea mabadiliko hasa...na pia ninavyotafakari na kuona hali ya wananchi wa hali ya chini....nadhani Tanzania tunahitaji kuona kuwa tunakoelekea ni karibu... Ukaribu huo ni kwa kujiandaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WATU 88704 KURA 46906 CCM OBAMA 20954 CHADEMA SILASI 16826 NCCR SAMSON elfu 7
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na Vyanzo nilivyo vipitia hivi punde,, inaonesha Slaa mempiga magepu Kikwete majimbo ambayo Aslisimamisha wagombea wake wa Ubunge tu,, Lakini kwasasa kuna majimbo ambayo Kikwete wagombea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau vp matokeo ya mbozi magharibi?nani kachukua?????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahanga agoma kusaini na kukamatwa na mabox ya kula faki yuko polisi akihojiwa:israel:
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE huko jimboni kwake ULANGA......
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom