Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana jf hivi kwa nini majimbo ambayo ccm imepigwa chini matokeo yamecheleweshwa? Kuna nini hapo? Tujadili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni tuchanganue tujue ni kiasi gani wanawake nao wamefanikiwa -bila kujali vyama: List ni kama hii so far: 1. Dr Lucy Nkya - Morogoro..... 2. Halima Mdee - Kawe 3. Jenister Mhagama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nilikuwa katika shinikizo kuu baada ya kusikia kuwa kunataka kufanyika usanii katika majimbo ya Arusha Mjini na Nyamagana, na hasa niliposikia mafisadi JK na EL wapo kwenye majimbo husika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna tetesi kuwa CCM wana mpango usiofaa wa kuchakachua idadi ya kura katika majimbo ya Kawe na Ubungo na wanachelewesha kutangaza matokeo ili wapate akili ya namna ya kufanya ubadhirifu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Nipe kalamu na wino, niseme ya king'amuzi, Umeshaleta maneno, un'gmue king'amuzi, Twakushangaa Chamwino, Tushafanya uamuzi, King'amuzi chayo tume, tupe matokeo yetu. 2. Haingii akilini, hiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sugu kapata kura 46,411 na ndio mshindi..hongera sana
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Vipi matokeo ya Mnyika wapenda maendeleo wenzangu....:israel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kwa mba ucheleweshaji huu wa matokeo ya uchaguzi ni namna ya kumwokoa JK. Ukiangalia reporting ya NEC so far iko zaidi yale maeneo amabayo JK ilikuwa ni obvious atasweep kwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tanzania Police Battle Protesters Over Delayed Poll Results DOW JONES NEWSWIRES Tanzanian anti-riot police battled protesters in major cities across the country late Monday, after results...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Unaweza kufuatilia matokeo ya uchaguzi hapa live kupitia ITV HABARICOM - live streaming video powered by Livestream
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kutoka mitaa ya sinza kuna habari kuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya sisi em, mzee Mwaking'inda yuko hoi hospitali kwa presha baada ya kushindwa uchaguzi huu na kijana wa chadema. Chanzo hicho...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Amepata kura zaidi ya 40,000 wakati mgombea wa Chadema kapata kama kura 2000 hivi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Matokeo ya Bariadi jamani mwenye Kujua kinachoendelea huko amwage data
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NI dhahiri ya kuwa CCM siyo chaguo la wapigakura wengi na wanarejeshwa madarakani na mafisadi kwa minajili ya kuendelea kuvuna ambacho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani vipi kuhusu huyu Mbatia, matokeo haya yana implication gani kwake kisiasa?? :thinking::thinking::thinking:
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Monday, 01 November 2010 16:14 Salim Said Matokeo ya awali MATOKEO ya awali katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanaonyesha kuwa, mgombea wa Chama Cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumetokeaje hapa na rais kama huyu, kila napoamka asubuhi na kukumbuka rais wangu ni Jey kei roho inanishuka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bariadi wanyantusu uzalendo unaanza kuwashinda
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wenje katangazwa rasmi mshindi KURA: CHADEMA (Wenje): 38,171 CCM (Masha): 27,883
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Mm wana JF..ebu fikirieni hili imekaaje?...nadhani ni coincidence ila hii kitu kidogo imenichenguwa. Tumempoteza SYLLESAID MZIRAY ( Super Coach) siku ya uchaguzi na kuna Mgombea wa Urais mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom