Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu kuna igizo linaendelea TBC 1 'linaiua' ccm hasa. Linaelezea vigezo vyote vya ufisadi wa ccm kama rushwa kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Pia wananchi wanahamasishana kuchagua viongozi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wagombea wengi wa CCM ikiwa ni pamoja na mgombea wake wa uraisi wako chali, tunamsubiri refa amalize pambano tu. Masumbwi mazito ya CHADEMA inaonekana yametua vilivyo kwa CCM na kuna kila dalili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI, siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye alikwenda huko kwa ajili ya kupokea Tuzo, baada ya...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Picha zote kwa hisani ya Global Publishers
0 Reactions
101 Replies
14K Views
wana jf tuwe wazalendo siku ya jumapili tujitolee katika vituo vyetu kuwa makini na kura za shujaa wetu slaa wasije wakazichakachua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inaelekea mambo si mazuri hata kidogo huko Iringa mjini kwani hata gazeti la udaku wa kila siku Habari Leo linasema hivyo tafadhali jisomee! Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 25th...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zilizoingia kwangu jioni hii ni kwamba Mgombea ubunge wa CCM wa Musoma Mjini Vedasto Maninyi leo saa kumi jioni amekaribishwa kwa mawe na wanafunzi wa Sekondari ya Musoma alipojipeleka pale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna methali isemayo "mwenda macho haambiwi tazama"!!!!!!!! ukweli ni kwamba ukienda shule, waenda kufuta ujinga, ukienda shule ukahitimu na ujinga haujakutoka, basi utapata jina la sifa yaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikiwa natafakari juu ya mwenendo mzima wa kampeni ulivyokwenda mpaka sasa..na jinsi mwelekeo wa kisiasa ulivyo kwa kuzingatia kipindi chote cha kampeni huku tukiwa tumebaki na siku chache...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu Naomba mtumegee kwa ufupi vichwa vya habari vya magazeti haya ili nasi tulio nje tuweze kujua nini kimeandikwa nayo. Asanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Anapogizwa kufanya kazi huwa hakosei hata kidogo. Huyu ni Mbowe na sasa hivi hapa viwanja vya relini Arusha amethibitisha hilo. Amepoteza yale matumaini kidogo aliyokuwa nayo Batilda Buriani kwani...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo hii, nilikuwa nikifuatilia hotuba ya Daktari wa kweli Slaa, live TBC1. Nilishtushwa na zile data alizozitoa, anasema zilisomwa mbele ya JK katika mojawapo ya ziara zake. Milioni mia saba...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
ZImebaki siku Nne tu Uchaguzi na maamuzi Sahihi ya Kila Mtanzania anayekerwa na UFISADI achague DR.SLAA NA chadema woote KWA UJUMLA haya yatakuwa maamuzi sahihi na utajutia kura yako ila kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona wengi mnakulupuka kama mnaofukuzwa kutoka machakani ,sijui Slaa hivi na kule nako CUF wanasema na kupiga makelele kuwa wanaviti 50 vya ubunge na kuteka madiwani angalau wao hawajafika kusema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Prof. Lipumba live on ATN
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF vp jembe le2 limepokelewaje kusin huko? Aliye na picha za uko jamani!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani JF ni mtandao bomba kuliko tunavyoweza kufikiri. Wasioijua JF wanasambaziwa kwa message za simu kila linalosemwa hapa. Nimepata taarifa kwamba kuna binti alifariki mwaka 2006 na jina lake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ewe mwana Mageuzi wa kweli katika kuleta Ukombozi wa nchi hii toka serikali ya kidhalimu ya CCM tafadhali saidia ushindi kwa CHADEMA! Sio siri na asiyeona na aone Dr Slaa ndo anakubalika kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom