Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
kumekucha ss si watu wa maneno ni vitendo JK akipokea bendera ya CHADEMA, kutoka kwa mwenyekiti wa Wanawake wa chama hicho jimbo la Kwimba, Monika Jimotoli mara baada ya kutangaza kukihama...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Ana mkutano wa kampeni maeneo ya rwamishenye,shughuli mjini zimeathirika kwani mamia kwa maelfu ya watu wamefurika.wadau kwa kweli bkb hapatoshi.kagasheki anaonekana kuzidiwa kabisa.nguvu ya fedha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je wajua kwa serikari ya Kikwete milioni mia saba(700 million) zimetumika kutengenezea matundu 8 ya choo cha shule ya msingi? Na ni jumla ya shilingi Bilion 3.2 zimetumika kwa mradi huo kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JK ameshindwa. Hilo analijua. Kitendo cha kutumia wanajeshi wanafiki kuwatishia wananchi, kimechefua si tu Watanzania bali wahisani ambako huwa anapenda kwenda kufanya umatonya. Tanzania siyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko kwa wanachi sehemu mbalimbali juu ya kutoyaona majina yao toka katika vituo walivyojiandikishia ambayo yamebandikwa katika vituo vya kupigia kura. Kwa mtazamo wangu kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna a kind of Mdahalo unaendelea sasa hivi live from radio 1 na BBC Swahili. Umelenga wasanii na uchaguzi. Yupo Sugu (Mbunge Mbeya mjini), Kala Pina (Diwani- Kinondoni), Pr. Haroun, Dokii n.k...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ENDAPO TUTAGUNDUA KUWA CCM WAMEIBA KURA ZA SLAA NA KINYEMELA WAKAMPITISHA KIKWETE....JE TUTAFANYAJE? MAANA CCM WANAUZOEFU WA KUIBA KULA:thinking:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
WanaJF: Habari nilizopata sasa hivi kutoka jimbo la Hai ni kwamba Mbowe amefukuzwa jimboni humo na wafuasi wake WanaChadema. Wamemwambia aondoke aende kumsaidia Dr Slaa na wengine katika kampeni...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Watz tulimwita Nduli baada ya kuvamia mkoani Kagera. Waganda wengi ukiwauliza je alikuwa sahihi kuwafukuza hawa watu,majority wanakubaliana na Idd Amin.Mpaka leo Uganda ,uchumi uko chini ya...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Napata habari hapa sasa hivi kutoka CCM Mbeya ni kwamba JK atakuwa huko tena kwa kampeni Siku ya Ijumaa. Du! yaani kweli jamaa sasa anaweweseka, yaani kusikia Slaa atakuwa huko tayari homa imepanda!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni(farao) siku za mwisho wa kampeni zinavyozidi kwisha ndivyo na wagombea ubunge wasiokubalika kama Dk. Batilda Buriani wanavyozidi kuchanganyikiwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mgombea ubunge jimbo la singida magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM),bwana Lazaru Nyarandu amepanga kutumia helikopta katika kampeni zake,katika siku mbili za mwisho.Nyarandu amesema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
...... Kikwete aliingia madarakani kwa kuwachafua wapinzani wake akina Salim na wengineo. Alipofika madarakani akahodhi CCM kuwa mali ya familia yake na kuendesha nchi kwa mtindo usioona mbele...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Mkutano wa JK wafunga shule tano Tuesday, 26 October 2010 21:08 Kizitto Noya, Mwanza SHULE nne za msingi na sekondari zilizo kwenye Kata ya Nkome wilayani Geita, jana ziliahirisha masomo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KWa wagombea wote wa nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Urais, kwa wanachama wote wa vyama vinavyogombea uchaguzi mkuu 2010, kwa wapiga kura wote waliojiandikisha na watakuwa vituoni wakipiga kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hofu yazidi kutanda CCM ,matumaini yamepotea na wameshaanza kuomboleza kushindwa, bendera zapeperushwa na nusu mlingoti.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kumpata rais mpya Dr. Slaa pamoja na wabunge wapya, ningependa wayafute maneno/lugha hizi: - mheshimiwa - serikali iko mbioni - pamoja na majibu mazuri ya mheshimiwa waziri,,,,,, - tuko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kaazi kweli kweli. CCM wamekaa kimya? Sasa sijui vyama vingine huko Kawe waandike barua NEC kuwa CCM ni chama cha Vurugu na Kuuwa watu? Utashangaa NEC wamebugia maji mdomoni. CCM na POLISI yao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom