Ndugu wana-JF mlioko Mwanza, nimepigiwa simu dakika tano zilizopta 06:30 hivi na jamaa yangu aliyeko mitaa ya Nyegezi jijini Mwanza kwamba msafara wa Kikwete umepita eneo hilo ili nisikilize live...
Ni Polisi, Mgambo, JKT, Magereza
Tossi asema Polisi peke yao hawatoshi
Mwema ataka matokeo yaheshimiwe
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema
p { margin-bottom: 0.08in; }...
Waheshimiwa wana wa nchi , tukiwa tumebakiwa na siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, naomba nitoe mshangao wangu mkuu ambao najua wengi utawashangaza pia.
wote wenye matumaini ya kuwa Slaa atakuwa...
Mshahara wenu kwa mwezi ni shilingi ngapi?, je zinatosha kwa mwezi? Nyumba mnazolala ni bora? Kodi mnayokatwa je ni halali? Madeni yenu mnayodai je mmelipwa?
Sasa nakukumbusheni kuwa wakati...
Ni matumaini yangu mu wazima nyote. Kwa mawazo yangu ninaona ni vyema taasisi na asasi zote binafsi kufungua ama kuanzisha mtandao ambao utakua ukikusanya matokeo ya kila jimbo.
Mfano...
Mbali na wanafunzi wa elimu ya juu kuondolewa kimkakati kupiga kura, kuna kundi lingine nalo limeongezwa kwenye idadi ya watakaoshindwa kupiga kura Jumapili tukufu ya Mabadiliko.
kwa Taarifa...
Leo mnamo saa 4:38 usiku, Jumanne Magembe ametangazia umma kupitia ITV kwamba CCM utatoa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.
Ilipitishwa lini na Bunge?
Baada ya mgombea Ubunge jimbo la Maswa Magharibi Mhe. Shibuda kuachiwa na polisi kuwa hahusiki na mauaji,Kamati ya maadili ya Uchaguzi ya Wilaya hiyo imemjia juu Shibuda kwa kutaka aenguliwe na...
Kutokana na upepo mkali unavyobadilika kwa kukubalika kwa Dr Slaa katika siku hizi za mwisho, jee kilichobakia kwa JK sasa ni kutegemea hisani ya NEC? Vinginevyo halionekani tundu la kupitia.
Magazeti mengi leo yakiwemo Mtanzania na Majira yameripoti Waziri mwenye dhamana ya kusimamia maendeleo ya elimu hapa chini Profesa Jumanne Maghembe akinena ya kuwa sera ya elimu ya chama chake...
Ninaangalia star tv, nimeona wakisema kuwa Mh.Baregu na Mh.Marando wameitisha kikao cha waandishi wa habari lakini mpaka sasa hawajasema lolote, kwa mujibu wa star inaonekana wana ujumbe...
HABARI za Uhakika ambazo nimepokea Punde kutoka kwa viongozi wa Dini jijini Mwanza ni kuwa Baada ya Bernaed Membe kujaribu kuzungumza na viongozi wa dini na madhehebu ya Kikristu na kushindwa...
Wana JF,
Nilimsika mshikaji wangu mmoja akimwambia mtu wake wa karibu sana kuwa mume wa dada yule si wajua yuko TAKUKURU kanda Furani hapa nchini? Jamaa akasea hee nafahamu ilo sasa anafurahia...
Dear my senior fellow citizens;
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
Prof.Ibrahim Lipumba
Dr.Wilibrord Slaa
Mr.Hashim Rungwe
Mr. Mutamwega Mugahywa
We appreciate your interest in the position of...
I'm the best,I can do it.
I'm great,you all know me.
Give me more and get back more in return.
Are you getting confused in political campaigns?Yes,political.The world has politicians in the...
Kila nikijaribu kucheki comments za uchaguzi wa mwaka huu, naona zinatolewa na wanaume tu...! Jamani tunatafunwa na nini? Ni kwamba wadada/wamama zetu wamefanikiwa kutishiwa kuwa iwapo watachagua...
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:
kwa kua naamini bila ya shaka yeyote ile kua zimebaki siku chache dr slaa kujuta kwa kuacha kugombea ubunge na kuona jinsi gani wenziwe walivyomuuza
ningelimuomba mheshimiwa Rais JK katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.