Wadau...niona hili lisipite bila kuwekewa msisitizo zaidi. Katika mdahalo wa ITV jana, mgombea wa Chadema na Rais mtarajiwa Dr Slaa alitamka wazi kuwa Ikulu imetoa $1.5million (DOLA MILLION MOJA...
wakuu nimeangalia kupitia mtandao wa NEC kuhajiji jina langu sijaliona! nimeana majina ya familia yangu tu. Sasa sijui bado daftari linaendelea ku-updatiwa au nimeliwa?
Tafadhari mwenyekujua...
wadau angalieni Channel 10 muda huu, Askofu Kakobe anawaelimisha waumini wake namna ya kuchagua viongozi bora. Anasema msichague viongozi wala rushwa au wale ambao wanawatetea au kuwa na uswahiba...
Nimeamini kwamba maji yamezidi unga baada ya kushuhudia kile kilichojitokeza katika mkoa wa tanga, Mh Dr slaa alikuwa akihutubia maelfu ya watu waliohudhuria mkutano wake Huku kukiwapo magari kama...
Dakta jei kei atafanya mdahalo jumapili ijayo akitoka kupiga kura chalinzeeeeeeeeeeee anakuja moja kwa moja bamaga tbc wani kwa ajili ya mdahalo,duuuuu kweli sisiem hamnazo tehe;tokea august...
WAKATI juhudi za kuliokoa Jimbo la Bukombe ambalo liko katika hatihati za kunyakuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zikipamba moto, viongozi wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Jumamosi, Oktoba 23 Mgombea Urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa atajibu maswali ya wananchi moja kwa moja (live) kupitia ITV Televisheni, kuanzia saa moja jioni hadi tatu usiku.
Mwambie...
Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara?
Jinsi watu wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni na namna kampeni za mtu kwa mtu, kupitia simu na mitandao mbali mbali. Hamu ya mabadiliko imekuwa...
Wadau wapo wana ccm wanapita hapa mtaani kwetu,mabibo wanagawa kanga,tishet na kofia za ccm,na wakishakupa wanakuandika jina halafu wanasema mpaka sasa tumeshashinda,wamemgawia mke wangu...
Kuna Tcha fulani huko jimboni kwa Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand aliwahi kunitumia SMS ya propaganda kuwa Dr. Slaa si kitu si lolote.
Hivi majuzi nilizungumza naye kwa simu na kunieleza...
Nilikuwa napitia ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2008 kutoka Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje. Kuhusu suala uhuru wa maoni na habari ripoti hiyo ina maangalizo kadhaa mojapo ni hili:
On...
Nilikuwa nikiangalia harakati za kujinadi kwa mgombea wa Urais wa zanzibar kwa kupitia CCM na nilishituka na kauli iliyosema kuwa serikali za CCM,ile itakayokuwa chini yake Zanzibar na ile...
Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa wito kwa wapenda mabadiliko wote kuwa we are very close on the finishing line kuindoa ccm iliyogawanyika madarakani, ambayo ni adui wa wapenda mabadiliko na...
Wana jf nilimsikia mkurugenzi wa kituo cha kisheria na haki za binadamu akitaja JF kama moja ya taasisi zitakazotoa waangalizi wakati wa uchaguzi mkuu.
Nilisikia JF itatoa watu 60 watakaojiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.