Siku ya Tarehe 29/10/2010, saa moja kamili jioni katika kituo cha ITV kutakuwa na mdahalo wa mgombea urais kwa ticket ya CUF Prof. Ibrahim Lipumba, mdahalo huo umeandaliwa na VOX Media...
Leo tena majira ya asubuhi, historia imezidi kukolezwa wino baada ya mmoja wa wazalendo wa nchi na mfuasi wa kweli wa siasa za Mwalimu Nyerere, Mustafa Jaffar Sabodo amechangia Tsh. Mil 100 kwa...
Natamani sana Jumapili ijayo, yaani 31/10/2010iwe siku ya mwisho kwa Jakaya Mrisho Kiwete kuwa Rais.
Lakini ili tufike huko inabidi tufanye mambo yafuatayo ili Dr.Slaa amshinde Kikwete na awe...
Mwalimu JK Nyerere baada ya kuachana na ualimu aliendelea kuitwa Mwalimu, hata pale alipopata Udaktari, alibaki kuitwa Mwalimu na alisisitiza hivyo.
Kulikoni Jakaya Kikwete kujitukuza/ kutukuzwa...
Ujasiri na Uadilifu wa uongozi, Ungempelekea Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Kuawachukulia hatua za dhati kabisa mafisadi waliokuwa wamewekwa hadharani na kufahamika waziwazi. Lakini akawa...
Hali ya nchi kwa sasa inaonyesha wazi mahitaji ya watanzania,kuwa tunahitaji viongozi makini ili watutoe hapa tulipo katika lindi la Umaskini wa kutupwa.
Hivyo Mabadiliko yaanze tarehe...
24th October 10
CCM executing ambitious hospital project in Moshi
Daniel Ondigo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) has planned to spend over Sh2.9 billion to construct a modern ward at Mawenzi...
wana-jamii forum mpo? mimi ndipo hivi sasa najiunga kundini. Naomba nianzae kwa kutoa maoni yangu kuhusu mdahalo wa jana wa Dr. Slaa. Awali ya yote napenda niupongeze uongozi na watendaji wa I.T.V...
Kwanza nipeni pole sikuweza kuangalia Dr.Slaa akijibu maswali live muda mfupi uliopita.Kwa kuwa nipo kikazi huku na sina Tv nikajisogeza baa kutazama kipindi..kilipoanza tu baada ya kama dk 5...
Hali hii kweli inashangaza kabisa. Ungelitegema JK na CCM kwa kile wanachokiita ni wazoefu wa utawala wangelikuwa mstari wa mbele kusema "YOTE YANAWEZEKANA" lakini wao sasa wamekuwa mstari wa...
Baada ya kupatikana uhuru kutoka mikononi mwa waingereza takribani miaka hamsini iliyopita, watanzania wengi hawajawahi kujisikia wako huru. Walibadilisha wakandimizaji kutoka wazungu na kuwa na...
Wapenwa wazalendo wa nchi hii, nashawishika kusema kuwa hata mtoto wa elimu ya awali anajua ukweli aliotoa Dr Slaa jana kwenye mdahalo. Huyu jamaa ni kiongozi, habahatishi hata kidogo. Na wale...
Mwanazuoni mmoja liwahi kusema kwamba ukitaka kukmbukwa siku zote baada a kufa ama ufanye mambo ambayo wengine wanweza kuyaandika au uandike mada ambazo wengine wanaweza kuzisoma.
Mtu awaye yote...
WanaJF;
Si vibaya tukaanza kutoa maoni na mapendekezo yetu hata kuota ni nani ambao wanaweza kufanya team nzuri katika Baraza la Mawaziri la Serikali ya Mh. W.P. Slaa endapo atashinda uchaguzi...
Wana jukwaa nimekuwa nikifuatilia sana siasa za uchaguzi wa Tanzania Bara tangu zama na zama. Kitu ambacho nimekigundua hasa katika kampeni za mwaka huu ni kuwa mikutano ya ya kampeni ya Chama cha...
Naombeni ITV mfanye muwezalo kuuza ule mdahalo wa jana... ni tukio la kihistoria si kwasababu slaa alifunika tu, hapana bali pia kwa wapinzani kupata airtime kama ile haijawahi kutokea
we needs...
Wadau hakuna asiefahamu ukweli wa hayo. Kwa bahati mbaya sina rafiki au jirani ninaemfahamu ambae ni shabiki wa ccm yaani UDHALIMU, kwa ambaye anafahamu sababu ya watu kushabikia ccm atusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.