Pamoja na kuwa Dr Slaa anapendwa na watanzania wengi mno na anayetarajia kuwa rais hivi karibuni, CCM wako na harakati za kutumia kila mbinu mbaya ikiwemo kampeni za vitisho vya vita, udini n.k...
*Polisi yakiri kuwashikilia viongozi
Wakati jihudi za kuliokoa Jimbp la Bukombe liko katika hatihati za za kunyakuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zikipamba moto, viongozi...
Uongozi wa Vyuo vya Elimu ya Juu, TAHLISO, umelikana tamko la Mwenyekiti wake aliloipa serikali saa 72 kuamua hatma ya wanafunzi hao, kwa kusema alijisemea kwa nafsi yake, na alilitoa kwa kutumwa...
Mkwere ndugu yangu, mtani wangu, ninakuomba tu ujitoe kwenye kinyang'anyiro cha Urais.
Huwezi kazi Mkwere. Kazi unayoweza Mkwere ni kukaa na Salma tu. Siyo Urais.
Uliingia kwa mbwembwe Mkwere...
JK amemwaga ahadi tena Lindi! Amesema anateua Hospitali ya misheni iwe ya wilaya ( amesahau alivyojaribu kuondoa misamaha ya kodi kwenye huduma hizi)
Zaidi ameahidi kujenga hospitali nyingine ya...
Mimi ni muumini mkubwa wa utendaji wa CHADEMA,na hasa utendaji kazi aliouonyesha Dr Slaa.Naamini Chama hiki kinaweza kunifikisha kwenye ndoto yangu ya utumiaji wa rasilimali za nchi kwa faida ya...
Kikwete: Wakataeni wanaohubiri udini
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Lindi;
Source: Habari leo
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameonya kuwa umwagaji damu na...
Kulingana na gazeti la Majira, Mheshimiwa Mohamed Abdulk Aziz yupo hoi na wapigakura walimnunia pale ambapo JK alimtambulisha kwa wapigakura hapo Lindi Mjini.
Kwa maoni yangu, yaelekea yule...
Kuna mdau katutumia ujumbe kuwa Godfrey Lema ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Arusha mjini yupo mikononi mwa polisi. Kisa na mkasa tutawafahamisha punde kwani anaendelea...
Kama Mtanzania mwingine ambaye sijapata uelewa mzuri juu ya kupiga kura kwa Rais kama niko nje ya kituo nilichojiandikisha kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kuuguza wapendwa wetu mahospitalini...
Tujikumbushe siku za nyuma wakati Kikwete alitakiwa kuchuka maamuzi magumu na hakuchukua.
Re: Epa na mambo yake
JK: "Watanzania eh"
WTZ: "Eh"
JK: "Mimi Rais wenu!"
WTZ: "eh!"
JK: "Sina...
Wanajamvi... nimeikuta mahali, naomba kuwasilisha TETESI..
Kuna Mikopo Inatolewa kupitia Ofisi za Serikali za Mitaa; hii nishuhudia mwenyewe huko Mbezi, zinatoa mikopo kutoka Benk Ya Wananchi wa...
As we are approaching a critical point to decide the fate of this beloved country of ours, I solemnly urge every Mwanajamii to RSVP on October 31,2010.
It sound like what 'the heck' BUT note...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni...
Residents of Mabibo, Dar es Salaam, check their names on a voters list pinned at a polling centre in the area yesterday ahead of polling day - October 31. (Photo: Tryphone Mweji)
Source::: IPPMEDIA
Nimekuwa nje ya nchi na namna ya kufuatilia habari zinazoendelea imekuwa ni hapa kwenye jf na kupitia magazeti kwenye mitandao.
Nimesikitika kuwa gazeti hili ambalo linaandika vizuri sana habari...
Probably you need to help me out!
Mara Tamwa funga mdomo wako !
Mara Mwananchi newspaper funga mdomo wako!
Mara Viongozi wa dini kaaa kimya-funga midomo yenu
Mara oooooooh damu haitamwagika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.