Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
wadau leo ccm wamemtuma kijana wao wa kawe kuzungumza kuhusu fursa ya vijana na mustakabadhi wa taifa ndani ya chama.Jamaa wa ccm anasema ufisadi ni suala la mtu binafsi na si chama uhondo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea mwenza wa NCCR aishiwa nguvu, aanguka jukwaani Send to a friend Thursday, 21 October 2010 10:40 digg Leon Bahati na Fidelis Butahe MGOMBEA Mwenza wa NCCR Mageuzi, Ally Omar Juma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kuona swali la mdau hapa kwenye JF leo asubuhi,niliamua kwa dhati kabisa kufuatilia habari za mgombea mwenza wa chadema kwanza kwa kuaniza nyumbani kwake kwani ninaishi nae karibu sana na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo nilikuwa nasikiliza Redio wapo 98.0FM, Gamanywa ametangaza kuongea na waandishi wa habari hapo keso kuhusu mambo ya uchaguzi mkuu, kwa maana ya kuingizwa udini kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WAKATI wagombea watatu wa CCM ,CUF na UDP wakikwepa kufika katika mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa mgombea wa NCCR-Mageuzi Kiyaya Dominic (kulia) amewataka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepitia blogs za Michuzi, Njengwa na Global Publishers kufuatilia habari mbalimbali, hasa zile za uchaguzi. Ni Global Publishers tu ndio walioweka picha ya Dr. Slaa Mwanza. Hili limenishangaza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kufuatia taarifa za kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura zilipigwa tayari huko Tunduma, sasa ni dhahiri kuwa vituo 52,000 vilivyotangazwa na NEC huenda kuna vituo ambavyo vinatarajiwa kupokea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana mi nimesikitishwa sana na serikali yetu kubadili mfumo kwa kutoa leseni mpya kwa bei ya juu namna hiyo. Hivi hiyo bei kapanga nani. Gharama za kuitengeneza zinafikia 40000/=?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, nimeona ni vema nikiwamegea hii info muhimu. Ukitaka kupata info zako za uandikishwaji wako bofya hapa Kila la kheri fanya maamuzi sahihi october 31, usifuate mkumbo. "kura...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tafadhali walioko Mwanza watujuvye, kuna taarifa kuwa Polisi wanatawanya watu wanaokusanyika kusubiri Mapokezi na Mkutano wa Dr. SLAA
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Hatimaye siku zinazidi kujongea kufikia siku ya uchaguzi mkuu Oct 31, ni siku takribani 11 zimesalia kwa waTanzania kwenda kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi wao katika ngazi mbali...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kikwete ndio anapanda jukwaani,watu sio wengi.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana JF, Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HAWA WANAWAKE WA MBEYA WAMEVUNJA REKODI KWA KUWA MNO WAWAZI. HUKO MOSHI HUWA WANAMSHANGILIA LAKINI AKISHAONDOKA WANAMSENGENYA NA KUMCHARURA KISHA WANAAAPA KUTOKIPIGIA KURA CHAMA CHAKE. HAPA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mgombea mwenza wa Slaa?Sijamuona katika kampeni na sehemu mbalimbali muda kwa mrefu.Yuko wapi huyu ndugu yetu?
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanabodi Nilipata ka vakasheni kafupi, hivyo nikaamua kwenda kujipumzisha mikoa ya Moshi na Arusha juzi na jana. Baada ya mapumziko mafupi ya juzi yalitosha na jana nikaitumia kusafisha macho...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo nilikuwa mtaani nkawahoji vijana wachache kuhusu uchaguzi. Wachache wao walikuwa wachuuzi wa vitu vidogo vidogo ambao hunyemela bar kupata wateja wengi wao walionekana kuwa wamejiandikisha ila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HONG KONG (AP) - Hong Kong customs officers have seized over one and a half tonnes of smuggled elephant ivory worth 10.9 million Hong Kong dollars (1.3 million US) shipped from Tanzania, they...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho.. Naagiza...
0 Reactions
98 Replies
11K Views
Back
Top Bottom