Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naanza kwa kuuliza swali... Hivi ukiwa umekaa umejituliza ukamuona panya anakimbia kutoka sehemu nzuri kuelekea kwenye moto mkubwa unaowaka utafikiria nini? Jibu langu mie nitajibu baadae lakini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi akishinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kama atashinda kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wengi waliokuwa wakitarajia kuwa Lipumba amepoteza wakati wake na kwa wale ambao walikuwa wakiamini kura za maoni zilizokuwa zikirushwa kwenye vyombo vya habari ndizo zinazoashiria Raisi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
KIla Siku Najiuliza, Kwa nini kwenye blog ya michuzi Hakuna post za wagombea wengine zaidi ya CCM ? Kumbe ni mamluki na anajipendekeza kwa JK........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuendelee kujadili na kupanuana upeo wa mambo, ninajaribu kujiuliza kwamba iwapo data base ya makampuni ya simu(tigo,zain,voda n.k) itatumiwa na mafisadi wa kuchakachua kura kwa njia ya technohoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, Asasi ya vijana ya Tanzania Youth Vision Association-TYVA kupitia mradi wao wa Kijana na Kura Yako 2010 baada ya kutembelea mashuleni na vijiweni katika mikoa ya DSM, Pwani, Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza mabadiliko katika karatasi ya kupigia kura . Wananchi watakaopiga kura watapaswa kuweka alama ya vema kulia kwa mgombea wa chama anachokusudia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu wa Intellijensia, JF wazalendo mimi nawewe watufanyia kazi tupate majibu. Ikibidi huyu jamaa IGP aweke wazi hilo jambo ili tuweze kupata majibu yaliyo sahihi. Vinginevyo nchi tunaipeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu leo asubuhi wakati nasikia mapitio ya magazeti RFA nimesikia kuwa NEC imabadilisha jinsi ya kupiga kura itakuwa kuweka Tick kwenye kibox kilichopo mbele ya mgombea Urais. Sasa nikapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu kikwete mgonjwa wa kuanguka hasa akikanyaga jangwani, ataweza kurudi kuhitimisha kampeni zake jangwani?......wenye ratiba watusaidie ili tuje fuatilia tukio japo sheikh yahaya amemuongezea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani pamoja nakujua hesabu zangu pengine kuna wanaojua hesabu vizuri Angalieni kichekesho hiki cha mwaka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UNION presidential running mate under the ticket of CCM, Dr Gharib Bilal, has directed security organs to take stern legal measures against some members of CHADEMA who perpetrated political...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ZIKIWA zimesalia siku 13 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 31, makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), yanaonekana kukisumbua chama hicho kiasi cha wanachama kutishiwa kutimuliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kwa hali ilipofikia sasa baada ya JK kukimbia mdahalo na kumwachia Kinana ambaye amezidi kukidhoofisha chama, mi naona ni heri Kinana na Makamba wakasepa na kumwacha JK akiendeleza kampeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pengine maneno yangu yatakuwa ni uchochezi, lakini kwa maneno yao, waone wakina Charles Kimei Junior, a.ka. Mike Vuitton. Bonyeza Hiyo Linki Hapo chini...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanachadema, mbona hawaendi lindi na mtwara, nimeona ratiba hii, sijaona akirudia mtwara na lindi. Mwaka huu hatutaki kudanganywa, AMKENI WATZ, CHANGES HAPPEN ON YOUR DECISION. PRESIDENT Dr...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwa viongozi wengi wa serikali na taasisi zake kwamba yeyote anayetofautiana na CCM au kuikosoa kwenye public basi ni MCHOCHEZI. Mifano ni mingi, lakini tishio la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake, wakati huo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wana JF kwa kuwa matatizo ya nchi hii ni mengi kupindukia kwa hivi sasa kama vile mfumuko mkubwa wa bei, umaskini mkubwa kwa wananchi walio wengi, elimu duni,ufisadi,rushwa, katiba ya nchi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom