Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
KARATASI YA KUPIGIA KURA-NI SIRI? kabla ya mtihani wa kumaliza shule huwa kuna Mock exams,hii inamuandaa mwanafunzi kujua mtiahani utafananaje etc,pia kuna past papers,hii pia inajenga uzoefu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
AHADI zinazotolewa na baadhi ya wagombea uongozi nchini katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi mkuu zikitekelezwa, huenda zikawaweka Watanzania pabaya, imebainika. Taarifa ya kitaalamu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
  • Closed
Freeman Mbowe amejipendekeza mikononi mwa vijana mahiri wa CCM na kupewa kichapo havi hadi kupoteza fahamu leo Masama Hai.Hali hiyo imepelekea mkuu huyo wa CHADEMA kuwahishwa USA through Pretoria...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari ambazo zimelifikiadawatila hatudanganyikikutoka ofisi ya waziri mkuu zinzonyesha kwamba wasimamizi wauchaguzi katika majimbo yaani wakurugenzi wa halamashauri za wilaya, miji na manispaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilikuwa kama sinema za akina Rambo ama matukio ya Rwanda Genocide. Mgombe wa ubunge jimbo la Hai kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akiwa katika mkutano wa hadhara huko Masama Kati ghafla...
0 Reactions
127 Replies
11K Views
Kuna mzee mmoja kada wa CCM nilifanya naye mazungumzo kidogo kuhusu chama chao. Nikamuuliza swali: "Kwa nini mumekubali Kikwete agombee tena Urais mwaka huu wakati amevuruga nchi na haaminiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata taarifa kuwa mheshimiwa Dr.Slaa amemaliza kuhutubia mkutano mkubwa wilayani maswa akijumuisha majimbo mawili ya Maswa Mashariki kwamgombea John Shibuda na Maswa Magharibi kwa Kasulumbayi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu, leo nimeisoma hii (a bit delayed though) kuhusu majengo yetu mapya ya wamachinga pale Karume... Kwa kweli ni masikitiko sana kwa ripoti hii walioyotoa kuhusu majengo husika. Maswali yangu...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Mkutano wa kampeni ndio umemalizika hapa Himo Makuyuni na mgombea wa CCM Crispin Meela ametangaza kuwa mgombea wa TLP amemfuata leo asubuhi na wamekubaliana kuwa mzee wa kiraracha hatagombea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Macho mnayo ila hamuoni. Masikio manayo ila hamsikii. Midomo mnayo ila :tape:. Laiti mngalijua nguvu ya Kura mnayoichezea, msinge wasikiliza waliobadili maudhui ya chama tunacho kifahamu sote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. John shibuda 2. Arcado ntagazwa 3. Tundu lisu 4. James mbatia 5. John mnyika 6. Freeman mbowe 7. Augustine mrema 8. Kafulila 9........... Kuna wengine??? Hii timu itakuwa inatisha sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
dalili zinaonyesha mambo sasa yameiva na muda umefika...toka jana makaratasi ya kupigia kura yameanza kusambazwa kwenda kwenye mikoa mbalimbali yakitokea bohari kuu ya serikali, hali ya ulinzi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For all the remarkable campaign Dr. Slaa has done,with the changes we(Tanzanians) are eager to make and with efforts of newspapers well wishers from and outside tanzania can and ONLY spoiled by...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Kuna hii taarifa ya mwaka ya World Economic Forum inaonesha viashiria muhimu vya uchumi kwa Tanzania. Kwenye vikwazo vikubwa vya kufanya 'business' cha kwanza kabisa 'corruption'. JK na CCM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana usiku nimepata message kupitia namba yangu ya tiGo ikinitaka nimchague mgombea wao Kikwete kwa sera nzuri za CCM. Nilishtuka sana na kujiuliza wameipata wapi namba yangu. Nilipolala nikaota...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana. Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
what goes around comes around!kutokana na kichwa kikubwa cha habari leo kwenye gazeti la umma habari leo kusema"ahadi za slaa hazitekelezeki",napendekeza pia kesho waandike ahadi zifuatazo za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ili kumuenzi Jakaya Mrisho Kikwete ningependekeza raisi mtarajiwa akipe chuo cha Saana Bagamoyo Jina la Jakaya Mrisho Kikwete International College on Cultural and Entertainment, na kuongeza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JK amesema CCM watashinda uchaguzi na kuendelea kushika dola baada ya kufanya tathmini wakati akizunguka nchi nzima kwenye kampeni kwa sababu wanakubalika(Mwananchi 20 Oct. 2010). Tathmini yake...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
nasema ushauri kwa chadema maana ndicho chama hapa bara ambacho kinawatia wasiwasi cccm na kinawindwa kila kukicha, taarifa za tetesi nyingi zilizokwisha fikishwa hadi sasa juu ya hujuma za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom