habari wana JF.
31th oct, napiga kura yangu kwa mara ya kwanza na nahisi nawakilisha walio wengi tuu. sasa nawaomba wale wadau ambao walishapiga kura hapo awali kunithibitishia kama kweli kura...
udiwani sasa anavaa nguo rasmi
na Ahmed Makongo, Bunda
MGOMBEA udiwani wa kata ya Balili, kwa tiketi ya CCM, Edda Motte, ambaye hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya cham hicho, Jakaya...
Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: ZITTO KABWE AUZA NGUO ZAKE MKUTANONI KUMCHANGIA MGOMBEA WA UBUNGE SUMBAWANGA MJINI ,WANANCHI WAUNGA MKONO WACHANGIA ZAIDI YA TSH LAKI NANE
Habari za uhakika nimejulishwa na rafiki yangu toka Bukombe kuwa Jeshi la polisi linawashikilia watu waliokamatwa wakinunua shahada ZA KUPIGIA KURA.jESHI HILO IMEBIDI LIFANYE KAZI YA ZIADA...
Kwa zaidi ya miaka mitano wapenda mabadiliko tumekuwa tukiapashana habari, kubadilishana uzoefu n.k kwa kutumia njia mbali mbali ikiwemo jamii forum. Kwa hakika kupitia jf tumenufaika sana na...
Mwalimu wa Nyerere ataka CCM iadhibiwe
Na George Marato
Mwalimu aliyemfundisha baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika shule ya msingi, amesema adhabu pekee ya kukipa Chama cha...
Kwa sisi tulio mbali na mjini tunaomba mtuwekee mchakato majimboni iliyorushwa na TBC 1 jana Jumanne katika jimbo la Mbeya Vijijini.
Natanguliza Shukurani,na Kiswahili yangu ni poa tuu.
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni...
Najaribu kupiga picha sioni mbele mara baada ya tarehe 31 Oktoba.Ni kipindi ambacho wengi watalia na kusaga meno,ni kipindi ambacho wengi watashangilia ushindi wa kiongozi mpya,kwa sura,tabia na...
Nadhani CCM wakiongozwa na Kikwete akili zao zimezimia.
Wewe mtu unawezaje kulazimisha kuwa umetimiza ahadi zako? Kama umejenga barabara si watu wataona, kuna haja gani ya kila siku kesema...
1. Paul Mashauri Presedent EAST AFRICA SPEAKERS BEREAU
2. Costantine Magavilla MARKETING MANAGER ZAIN
3. COMPANERO- JF MEMBER
The mentioned above have leadership qualities.
Sina shaka yoyote kwamba ukombozi wa Tanzania umewadia.
Daktari wa filosofia mwenye shahada ya UZAMIVU, Dakta Slaa ataapishwa kuwa Rais. Haya ndiyo ninayoyatarajia kutokea wiki chache tu baada ya...
Wadau nimesoma report moja uko Daily News (Pamoja na chuki zangu kwa biasness ya hili gazeti) na nimependa matokeo ya utafiti yasiyoweza kubishiwa. Naamini kila mtu atakubaliana na mimi kwamba...
Tetesi za kuahirisha uchaguzi huu zinazidi kushika kasi kwa sababu ya mazingira yafuatayo:-
1) CCM hawapo tayari kushiriki uchaguzi huu baada ya kufahamu wapigakura wanaghadhabu kubwa na ya muda...
Hatua hizi mbili Chadema wamekuwa wakizipuuza lakini watakuja kujuta baada ya CCM, NEC na wakurugenzi wa halmashauri ambao NEC inawatumia kama wasimamizi wa chaguzi hii watakapokuwa wamechakachua...
In loving memory
Mwalimu J. K. Nyerere/ Founding Father of the Nation
11th Anniversary of his death
"It can be done if you play your part" Mwalimu Nyerere
I knew Mwlimu as a good person...
Eat crocodiles, Museveni tells Buliisa District residents
By Francis Mugerwa (email the author)
Posted Tuesday, October 19 2010 at 00:00
Buliisa
President Museveni has advised Buliisa...
Uchaguzi Unaofanyika Tanzania sio wa kwanza. Pia uchaguzi wa Tanzania ni sehemu ya chaguzi nyingi zilizofanyika duniani.
Mtu wa kawaida anaweza kuchunguza mambo machache yafuatayo na akajua...
CHADEMA wachoma khanga za rushwa
Zilitolewa na Mama Kilango kwa wananchi
na Grace Macha, Same
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimechoma khanga zinazodaiwa kutolewa bure kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.