16th October 10
Utafiti mpya wajibu Redet na Synovate
Elizabeth Zaya
Baada ya Taasisi ya Utafiti na Demokrasia (Redet) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Kampuni ya...
Sasa mambo yameiva, asiye na mwana aeleke jiwe!
Mwaka 2005 katika kampeni za uchaguzi CCM walishangazwa na CHADEMA kutumia Helkopta kufanya kampeni katika nchi masikini kama Tanzania. Katika...
Katika hali isiyo ya kawaida magazeti mawili ambayo tunachukulia wote wahariri wao walikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa TCIB yaani Tanzania Citizen Information Bureau lakini wametoa...
Ichi kipindi leo kuanzia 21hrs mpaka 22hrs TBC kilihudhuliwa na JAHAZI ASILIA,CHADEMA(MWAIPAJA),TLP (MLUGE) ,CUF etc
Wagombea wote walijiandaa vya kutosha kwa jinsi walivyokuwa wakiongea.
Kati...
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi...
ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku,leo akiwa mlandizi jk mbele ya kipaza sauti chake kiliwekwa kibao kilichoandikwa maneno hayo:for a fair future for all,vote for ccm,akaendelea kuhutubia akisema...
‘Uchafu' wa mgombea Sumbawanga watua kwa Makamba
* Apelekewa barua, picha za Mhindi akifanyiwa unyama
* AFORD, asasi za kiraia zataka CCM ichukue hatua
Na Waandishi Wetu, Dar na...
Haya yote ni sehemu ya udhaifu wa CHADEMA na CUF lakini kuna mengi zaidi ya haya hasa kwa upande wa CHADEMA ambao wanaendesha propaganda zisizo na mwelekeo wala ujazo wa...
By The guardian reporter
Two Kiswahili tabloids, Rai and Tanzania Daima, have been identified as the most notorious in negative publicity to political parties participating in the ongoing...
Ni jambo la kawaida kabisa hususani kwa nchi zilizoendelea kidemokrasia wakati mkiwa kwenye kampeni na ushindi mnono unanukia kuanza maandalizi ya kukamata dola na kushika hatamu za uongozi...
Nilikua nawaza sana na nikatafuta wa kumlinganisha Slaa na rais yeyote aliyewahi kuishi au aliyepo.Nimegundua Dr Slaa ni Sawa na Baraka Obama.Kama dunia ilivyokua inatamani sana America kuongozwa...
hadi sasa polls za gazeti linalosomwa na wengi la mwananchi,jumla ya voters 3525 matokeo kama ifuatavyo
dr slaa 71.1%
kikwete22.4%
lipumba 4.5%
tlp na nccr wamepata 0.5 kila mmoja
ukiangalia...
Kuna hili bango la wizara ya afya ambalo limekuwa pale ocean road takriban miezi miwili sasa. Ni wazi linampigia JK kampeni, na tume haikutoa amri ya kuliondoa. Tukumbuke rais wetu mteule Slaa ana...
Wapwaz, mabinamuz, mashangazi, mabibi na mabwana. Wakati unajipumzisha nyumbani au mahali pa starehe basi unaweza kujipa muda wa kuusikiliza ujumbe huu wa Mishori kwa Kikwete. Na uchukue muda wako...
Wakuu,
Naona kuna Rashid hapa TISS ndiye mkuu sasa. Naamini huyu alikuwa ni naibu wa mzee aliyeondoka. Mimi sina CV yake hebu ES na wakuu wengine naomba tupe data hapa tujue huyu ni mtu wa aina gani.
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Tanzania Citizen's Information Bureau (TCIB) na kutolewa leo umeonyesha Dk Slaa anaongoza kwa asilimia 45, JK asilimia 41,Prof. Lipumba asilimia 10, Hashim Rungwe...
Ukilinganisha Taifa letu Tanzania katika tafiti nyingi sana bado tupo nyuma sana katika kukuza sayansi na nyanja zote ili kufanya maendeleo halisi kwa watu wetu, Katika pitapita yangu, utaweza...
Labda alishawahi kuwa mc huko nyuma basi kama sivyo amesoma alama za nyakati, huyu jamaa anajiandaa vyema kwa kazi hiyo baada ya oktoba 31 kwani kila nikitafakari anayoyasema na ahadi anazotoa...
AN opinion poll survey carried out by the Tanzania Citizens Information Bureau (TCIB) has shown that the ruling CCM enjoyed 50 per cent support of people above 40 year of age, while the young...
Katika hali ambayo yaonyesha Mwanasheria Mkuu ni kibaraka wa mwajiri wake JK na CCM yake ameona ni sahihi kabisa kutochunguza matukio yote ya uvunjaji sheria za uchaguzi lakini kuichafua Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.