Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HABARI ZILIZOANDIKWA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI LEO ZINAONYESHA KUWA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KITASAMBAZA WAANGALIZI HURU NA KUJUMLISHA MATOKEO. KILA MKOA KITAKUWA NA MWANGALIZI MMOJA...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema Watanzania hawana matatizo katika kulinda amani ya nchi, bali viongozi ndio wenye matatizo yanayohatarisha amani hiyo. Rais Kikwete aliyasema hayo mjini Kigoma jana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM sasa kama ni suruari basi ni zile Tokyo, na kama ni kiatu basi raizoni najua wengi mtakuwa mnazifahamu hizo suruali aina ya Tokyo zilivyotamba sana miaka ya 1992-1994 ama kiatu kile jamii ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa viongozi, wanachama na wapenzi na mashabiki kazi kubwa ni kuhakikisha wapiga kura wanaelewa UPIGAJI KURA ili Kupata Kura zote zinazoelekea Chadema otherwise mambo yanaweza yasiwe kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amewasihi wafuasi wa CCM kuacha vurugu kwenye mikutano ya Chadema ili kufanikisha uchaguzi wa amani na undugu. Aidha amewashauri viongozi wa CCM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM leads in random opinion poll AN opinion poll survey carried out by the Tanzania Citizens Information Bureau (TCIB) has shown that the ruling CCM enjoyed 50 per cent support of people above...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ukkiangalia mwenendo mzima wa kampeni za chama tawala utagundua yafuatayo matumizi makubwa ya rasilimali za watanzania kwa maslahi ya ccm ikijumuisha kuwanunua wapinzani na kuwatawanya makada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S angry::A S angry::A S angry: Ndugu zangu, Nimepokea sasa hivi SMS isemayo: "Vyama vya siasa vilivyoandikishawa nchini Tanzania ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 06 October 2010 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kizazi kipya wamekuwa wakijidhalilisha na kuthibitisha hawana mikakati ya kujitegema kiuchumi na ndiyo maana hujisalimisha kwa wanasiasa hususani wa CCM katika kipindi cha kampeni. Huko huambulia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki siku 15 tu kupiga kura Jibu swali hili? Tunakwenda wapi WATANZANIA? ( VISION) Mi mara ya kwanza kumiriki gari ilikuwa 2004. Nilikuwa nanunua bei ya Petroli Tsh. 360 kwa lita...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyote mtakubaliana nami kuwa washabiki wa kisiasa (political commentators) ni watu muhimu katika taifa lolote lile katika kufanyia uchambuzi mambo mbalimbali ya kisiasa na wakati mwingine kijamii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU ü Tuchague viongozi wenye sera zitakazosimamia haki za raia wote bila ubaguzi wala upendeleo. ü Tuchague viongozi watakao simamia majukumu yao ipasavyo. ü Tuchague viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM inavuma katika anga za kimataifa kwa kuleta ukombozi barani Afrika,na Afrika nzima sasa kuwa huru.Jivunie CCM.CHAGUA CCM,CHAGUA KIKWETE.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
WAAFRIKA tuna desturi zetu! Ikiwa wewe ni kijana mdogo, umekaa na watu wazima halafu ikatokea mtu mzima mmoja amepiga ushuzi! Sasa, endapo mmoja wa watu hao atakushutumu ni kwamba umepiga ushuzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimearifiwa kuwa hatimaye Mh. Sophia Simba aliwasili Nzega jana [16.10.2010] na Kufanya Mkutano wake katika Ukumbi wa Check Point. Mengi yalijitokeza lakini zifuatazo ndizo dondoo za Kikao hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je wajua kuwa Uchaguzu mwaka huu umepangwa katika mwezi usio wa kawaida? Katika mwezi huu wa OKTOBA una IJUMAA 5, JUMAMOSI 5 NA JUMAPILI 5, zote zipo katika mwezi mmoja. Hii hutokea mara moja...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani? Willibrod Slaa - CHADEMA (1544) 69.5% Jakaya Mrisho Kikwete - CCM (568) 25.6% Ibrahim Lipumba - CUF (95) 4.3% Mutamwega Mugahywa - TLP...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hapa sizungumzii siasa za uchaguzi ila naomba kuuliza swali la msingi kabsaaa...kwamba nani aliemdanganya Raisi wangu kuwa UKIMWI ni ugonjwa wa kujitakia?? ( Hapa ilikuwa wakati Raisi anatoa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
WATU watano wanashikiliwa na jeshi la Polisi mjini hapa kwa tuhuma za kuhusika katika tukio lililotokea jana(juzi) ambapo watu wanaosadakiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi CCM na...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom