Ni shehe anayeendesha kipindi cha ARISALAH kwenye kituo cha Channel 10.
Jana nilibahatika kumsikiliza kwenye redio fulani ambapo pamoja na yeye alialikwa Askofu Gamanywa. Ndugu zetu hawa muhimu...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda, MwanaHALISI inaweza kuripoti.
Taarifa zilizosambazwa...
ktk pitapita yangu leo dsm nimeshangazwa kukuta mtu amebeba maji yenye nembo ya jembe na nyundo....kiukweli nimeshangazwa kwa kuwa mwenye kiwanda ameamua kujikomba na kutupilia mbali risk...
Ndugu wasomaji,
Napenda kutoa mchango wa mawazo hasa kwa wale wenye mapenzi mema na nchi yetu. Ambaye hajawahi kuumia katika maisha yake ukweli ni kwamba akiona aliyeumia anaweza kumcheka na...
kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-
Elimu Bora.
Miundombinu mfano barabara.
Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika...
Kama kuna delicate time katika nchi yetu ndiyo sasa. Yanayoanza kujitokeza tusiyafumbie macho. Hakuna ubishi kuwa GREEN GUARD ni intarahamwe mpya inajitikeza Tanzania. Hii inamaanisha kuwa kama...
Kampeni zinapoendelea Watawala wanadai eti Ikulu si mahali pa kufanyia majaribio ya Kiuongozi ingawa historia haiko upande wao kwani wametokea Marais wengi ambao hawakuwahi kuwa hata Mawaziri...
Ndugu wanaJF, nimekuwa nikifikiria sana ni namna gani sisi wapenda mabadiliko katika nchi yetu tunawezaje kupata wimbo wenye kusisimua kila mtu bila kujali itikadi yake, ili wakati huu wa kampeni...
Sheria ya taifa ya uchaguzi iliyotolewa 30 Juni 2010 chini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, F. M. Werema, ibara/ vifungu 63 (2) (l); 72 (1) (e); na 80 (6) (f) vinasema kuwa moja ya watu...
Hapa nyang'wale na geita mjini chama kina jina kubwa ila mgombea wa hapa nguru bright tanganyika amefanya tukio la aibu kwa wapenda demokrasia nchini,,kitendo cha kumfuata mgombea wa CCM bwana...
Akihutubia maelfu ya wakazi wa Musoma, Zitto alisema kuwa lengo la kufanya ziara katika Jimbo la Musoma ni kutaka kuhamasisha wakazi wa mji huo kumchagua mgombea ubunge wa Chadema, Vincent Nyerere...
JK SASA ASHAHIBIANA NA MIKHAIL GORBACHEV WA URUSI
Wote wawili waliingia madarakani kwa mbwembwe za mageuzi kwa JK ilikuwa ni Ari Mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya na kwa Gorbachev...
Zitto Kabwe katika twiter and Face Book "just finished my rally in Kahama please ignore the malicious rumour going round that I've been involved in an accident am alive and well"
Amepikea sms...
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.
Jee haoni kama...
SIICHUKII CCM Ni kweli kuna mengi mazuri yamefanywa na CCM niichukieje?
SIMCHUKII RAIS WETU MPENDWA KIKWETE - Yeye naye ni mtu mzuri tu na amefanya mengi mazuri.
NINAYOYACHUKIA.
1. NINAUCHUKIA...
VIONGOZI WA DINI, WASOMI , WANAHARAKATI NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATALAUMIWA SANA.
Katika jamii panapokuwepo na jambo linaloashiria kuleta madhara makubwa, ni jambo la kawaida kutafuta...
Julius Kambarage Nyerere
1922 to 1999
Roman Catholic Church
Tanzania
Julius Kambarage Burito Nyerere was born in 1922 at Butiama village, Musoma, Tanzania. He was a Zanaki by tribe. His...
Nyufa hizo ni nne za kitaifa zilizoongeza migawanyiko mikubwa ni:-
a) Umasikini na tofauti za kimapato zimepamba moto na kunenepesha matabaka ya kiuchumi ndani ya jamii yetu.
b) Udini umeshamiri...
Siku ya leo nimeitumia kutazama maadhimisho ya Siku ya Nyerere jinsi yalivyoendelea huko Kigoma. Halaiki ya vijana haikusisimua mpaka Rais Kikwete alipofika, naye kama kawaida hakufika mapema...
Miaka 11 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere alipofariki dunia, ni muhimu taifa kukumbuka juhudi zake za kumkomboa Mtanzania kutoka katika ujinga, maradhi na umaskini ambavyo hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.