Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu kama mnakumbua ushindi wa SISIMU mwaka 2005 ulichangiwa sana na Lowasa?Pia shule zote za kata zilijengwa kwa amri yake?Alianza kurudisha uwajibikaji serikalini?Kauli ya maisha bora ilikufa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
<object width="640" height="390"><param name="movie" value="http://www.youtube.com/v/DtFi-tyhxNs&rel=0&hl=en_US&feature=player_embedded&version=3"></param><param name="allowFullScreen"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia sasa tbc wanataka kujiunga na watangazaji waliopo kigoma,kutuletea matangazo ya kuzimwa kwa mwenge na kikwete,hivi hawana taarifa kuwa kuna mdahalo pale nkrumah udsm wenye tija kwa taifa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama inavyofahamika kuwa watanzania wote wazalendo tutajumuika kwa pamoja katika kuchagua viongozi wetu watakaotuongoza na kututumikia kwa miaka matano ijayo 2010-2015 lakini sasa swali kubwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeinakili habari hii kwenye Jukwa la siasa na ilianzishwa na RADI ( Mwana JF) Laikini nimeona inafaa hapa Jukwaa la Uchaguzi pia kwani Rostam anagombea ubunge KICHWA KILISEMA: Rostam mdeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imenishangaza sana leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kikwete kutumia siku ya kuzimisha mwenge wa uhuru kufanya kampeni. Alikuwa anatoa ufafanuzi wa tatizo la maji Kigoma. Yeye amesema kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wandugu, pamoja na nyombo nzuri saana ambazo tumekuwa tukizisikia toka kinywani mwa ccm kuna meeengi ambayo hatuyajui wala hatujayaona. Sijui wenzangu kama mlishafanikiwa kuona kilichofanywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FemAct yabeba wanafunzi elimu juu 60,000 kupiga kura Na Restuta James 14th October 2010 Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (FemAct) na mashirika mengine ya kiraia, yameandaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!! SASA HALI KAMA HII...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu watanzania, natoa shukrani za dhati kwa wote wlioniomba niwatumie kitabu JE TUMWAMBIE RAIS?pia nashukuru kwa maoni yote ya wachangiaji wa mada nilioitoa, ingawa kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila kiongozi ana mazuri yake na mapungufu yake kumpa mwinyi sifa ya kiongo aliyeona mbali kweli hastahili hata kidogo....kama kiongozi inabidi uwe na msimamo na mambo unayoyafanya....ushauri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi mnajua watanzania jinsi hawa wapinzani wanavyoweweseka na nguvu ya CCM?nimetafakari vya kutosha ndio maana nikaamua kufunguka namna hii nimegundua mambo yanayofanywa na ccm wapinzani wengi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Forget about the election manifestos and what is transpiring on campaign trail. Just answer this question honestly and you will know the benchmark of how to vote comes October 31st 2010. Is your...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
NI MUHIMU RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AKACHUKUA HATUA YA HARAKA JUU YA HALI HII INAYOJITOKEZA YA WAFUASI WA CCM. NAOMBA WATANZANIA TUMHIMIZE RAIS WETU KATIKA HILI. SOMA HABARI HII HAPA CHINI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya JK pale Kigoma kupitia TBC1, wakati anaongelea uchaguzi hajatamka hata mara moja neno UCHAGUZI HURU NA WA HAKI. Kaongelea uchaguzi wa amani na utulivu na kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kazi aliyoifanya kijana Zitto pale mjini Musoma inaumbua kura za maoni za REDET na Synovate. Wana wa Musoma walisahau kama kuna kampeni za mgombea urais wa CUF na kutembea kilomita mbili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa, maharamia (Pirates) wa kisomali wamekuwa wakitesa kwenye mwambao wa bahari ya hindi ndani ya himaya ya Tanzania kama vile wahusika wapo likizo. sasa imefikia wanafika hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
great thinkers mliopo hapo dar na haswa udsm,vp mdahalo umeanza?wakina butiku,ulimwengu wamefika?leteni ya huko hapa javini tuendeleze harakati zetu za ukombozi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikimaanisha Mwanahalisi na Raia Mwema. Jana nilibahatika kuwahoji baadhi ya wauza magazeti kuhusu magazeti gani huwa wanayauza sana. Wengi wao wakasema ikifika mida ya saa kumi jioni ni vigumu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom