Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nguvu kubwa ya Kampeni na misafara mikubwa, mama na mtoto nao! yote ya nini kama anakubalika kiasi hiki!!!?, Tafakari chukua hatua, waonyeshe Synovate kuwa ni waongo, piga kura tarehe 31, October...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
kati ya wagombea uraisi TZ 2010 ni yupi ambae angalau anamoyo wa kumuenzi muasisi wa taifa hili jk nyerere kwa matendo ya utetezi wa haki sawa kwa waTz wote? na kwasababu au mifano ipi aliyowahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Japo leo hii Mwalimu U marehemu na UNAwalaumu Watanzania kwa kupuuza ushauri wake kuhusu Kikwete na Lowassa MWAKA 1995……MWALIMU NYERERE NGOJA NIKWAMBIE..moja ya watu ambao ….kufa kwa KWAKO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kama mtakumbuka Marehemu Nyerere alisema,anataka rais anayekerwa na umaskini wa Tanzania na anajua hilo,hapo alimzungumzia Slaa,Rais anayechukia mafisadi na Rushwa hapo pia ni Slaa,Rais bora...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana wakati nimekaa sina hili wala lile ikaingia sms katika kibofya changu toka katika namba '+3588108226' ikisema,'SLAA NI MROPOKAJI NA MGOMVI ANATUKANA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.ANATAKA DAMU...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo asubuhi mmoja wa wajumbe wa chama cha maalbino nchini alihojiwa na TBC1 na kuendelea kushinikiza meneja wa kampeni ya Mheshimiwa Mohamed Abdul Aziz katika jimbo la Lindi Mjini awaombe radhi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii kauli bado inanipa kichefu chefu sana! Hivi huyu bwana akifanikiwa kuwa raisi akamchangua Ridhiwani kama Balozi wa Tanzania UN, Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa na waziri wa Fedha, na Miraji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf na watanzania wenzangu!! tuma ujumbe kwa mtandao wowote ule wenye neno "hapana" kwenda kwenye namba 15016 kuna jibu linalokuja na linaonyesha kwamba watanzania tumeliwa hela nyingi sana...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ee Mungu tuepushie mbali na JK. Kuna taarifa kuwa wamiliki wa mabango ya biashara yaliyoondolewa na kupisha uchafu wa mabango ya "Chagua Chama Cha Mafisadi, Chagua Kikwete" watafaidika na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ninaamini usemi usemao:- "CHEMA CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA." Swali linalonila kichwa ni hili...............Hivi JK kama kweli ni mchapakazi na kuna mengi ametufanyia kwwa miaka mitano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila jioni baada ya kazi ngumu za kutafuta ugali huwa napitia blogu na magazeti yote ya Tanzania yanayopatikana kwenye mtandao na kusoma karibu makala zake zote. Kubwa iliyonifurahisha leo ni hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In one of his speech Nyerere once said “Road contract in ASIA awarded to someone the road will be built but in Afrika it won’t be built” MY TAKE Maneno mazito hayo tena in Afrika ata kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete, mgombea binafsi kwa staili ya BMW? ? Sarwed Dawalo * NYAKATI zimepita na majira ya uchaguzi kwa mara nyingine yamewadia hapa nchini. Uchaguzi Mkuu wa safari hii utakuwa wanne...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania leo tunaikumbuka cku ambayo baba wa taifa Mwl J.K Nyerere alitutoka. Kiukweli kabisa mwalima alifanya mambo mengi mazuri na machache mabaya kama binadamu. Jukumu letu kama watanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naam wakuu nimeona polls mbali mbali tafiti mbali zikionesha nani atakuwa Rais wa Muungano ambazo bila shaka ni JK ila sijasikia si Redet, si wengine wakizungumzia kuhusu zanzibar sasa nani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Miaka 11 toka tukupoteze kipenzi chetu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.Mpenda HAKI,Mpinga UONEVU na UNYONYAJI.Leo hii Tanzania na Watanzania ULIWAPENDA na KUWATUMIKIA kwa miaka 24 kwa moyo wako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, “ One tall tree does not make a jungle”- Nelson Mandela. Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si...
0 Reactions
155 Replies
11K Views
Chama imara cha kisiasa ni lazima kwanza kiwe na muundo thabiti, mtandao mzuri wa kisiasa unaoanzia ngazi moja hadi nyingine pamoja na kuwa na mfumo unaosadifu wa kisera na kiitikadi na...
0 Reactions
138 Replies
13K Views
Jamani, huwa mnamnukuu sana Hayati Julius Kambarage Nyerere, mbona hamumnukuu pale aliposema Ikulu si mahali pa majaribio? Nafadhaika kuona rafiki, ndugu zangu na jamaa zangu.....tena wengine...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom