Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Soma kwa burudani yako kuondoa shinikizo la damu na mkandamizo wa mawazo. Matokeo ya utafiti wa Kijiwe kuelekea uchaguzi Mpayukaji wa Msemahovyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zikiwa zimebaki siku kama 20 kabla ya uchaguzi mkuu, napendekeza vyama vya upinzani kugawana majimbo kama ifuatavyo: Ubungo (CHADEMA); Ilala (NCCR); Temeke (CUF); Kawe (NCCR); Kinondoni (CHADEMA)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimejaribu kumfuatilia MS na nimegundua kuwa ni mpenzi sana wa Dr. Slaa may be posho anayopata upande wa pili ndiyo inamfanya asitoe msimamo wake hadharani. Ukiangalia kwa undani thread zake...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Siku zote nilikuwa nikijiuliza, hivi hawa wenye makampuni ya simu wanapata vipi faida kwa mtindo wa shilingi moja kwa sekunde katika kipindi hiki ambapo karibu kila mtu ana simu (mijini) na cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya ndugu zangu kazi kwetu kusambaza bango hilo. Dr. Wilbrod Slaa's Photos - Kampeni Yetu Click on people's faces in the photo to tag them.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani nimependa hii video ya Policy Forum http://www.youtube.com/watch?v=A3fJTCd9PWY Policy Forum has released television and radio spot to promote transparency and citizen engagement in the...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Na Gerald Meshack MJADALA mkubwa kwa Watanzania kwa sasa bila kujali itikadi, dini, kabila ama jinsia, ni Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31. Ni siku muhimu na yenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hussein Issa na Salome Kuga TAMKO la mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo bado linakosolewa baada ya waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Jumuiya ya Umoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa samani zitakazotumika siku ya kuapishwa rais wa awamu ya tano zimekamilika na zimetengenezwa na jeshi la Magereza.SAmani hizi ni viti watakavyokalia HIGH TABLE ambavyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nilibahatika kusikiza kwa kiasi fulani taarifa ya habari ya saa bili usiku kupitia TBC1. Nilianza na taarifa iliyokuwa ikimgusa Prof. Lipumba. Ilianza kwa mtangazaji wa TBC1...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee wamepigiwa magoti ili warudi kuokoa meli ambayo imetoboka shimo kubwa na maji yanajaa kwakasi sana meri yenyewe haina hata maboya, ndio maana baadhi yao wanasema watasaidia lakini huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, hili limekuwa linanitatiza sana kuhusu JK, mgombea urais ambaye kutokana na fedha kufuru ya fedha zinazotumika ni dhahiri si fedha zinazochangwa na wananchi masikini, bali mafisadi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UNAWEZA UKASEMA NINA MAWAZO MGANDO LAKINI HII NCHI NI YA CCM! WAMETAWALA KILA KITU KUANZIA MEDIA,WASANII WETU MASKINI,WAKULIMA WETU MASKINI NA WW UNAESOMA HII MESAGE, ANGALIA KAMPENI ZA CCM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali inayoonyesha CCM kuzidiwa nguvu kulitetea jimbo la Bukombe linalowaniwa na mbunge anayemaliza muda wa Mm.Emma Luhahula anaonekana kuzidiwa nguvu na mgombea wa CHADEMA Prof.Kulikoyela...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu Zangu wanaJF uchaguzi mkuu unapofanyika katika nchi nyingi hapa duniani, mada kuu ambazo hutawala mijadla ni masuala ya uchumi. Cha kushangaza hapa kwetu badala ya suala la uchumi kupatiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk. Slaa aivuruga Kamati Kuu CCM • CHADEMA yashtukia mkakati wa kuiba kura zao na Mwandishi wetu ZIKIWA zimesalia siku...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) 2,010 21.92% Willibrod Slaa (CHADEMA) 6,292 68.62% Ibrahim Lipumba (CUF) 262 2.86%...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu bwana anafanya kampen kesho mjini Mtwara...Tutegemee tena Meli kubwa mpya na ya kisasa,mzee wa ahadi!,nitashangaa sana akiacha kutoa hii ahadi. STAY TUNED, Naisubiri hiyo kesho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa nidhahiri kabisa CCM imeishiwa cha kuwaeleza wapiga kura ili kuwashawishi badala yake Kikwete ameanza kurukia kuhubiri matumizi ya udini,ktk kampeni Tukumbuke kabla ya hili alivituhumu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom