Mchakato wa kampeni za uchaguzi wa mwaka huu unaonyesha ccm na hasa kikwete imepata upinzani mkubwa sana ambao hawajawahi kuu-experience na wala hawakuutegemea, imekuwa 'surprise' nakuleta ' a...
Kwa nini viongozi wa ngazi za juu serikali nyumba zao zipo sehemu fulani tu ?
Je usingekuwa ubunifu wa kuwa karibu na wananchi kama kwa mfano serikali ikawa na nyumba mbili za watendaji sinza...
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata...
Kama tukiendelea kutawaliwa (sio kuongozwa) na CCM, tunaelekea kuzimu kwani tukijashtuka hatuna madini tena (yote yamechukuliwa na "wawekezaji"), hatuna gesi tena, tumeua mbuga za wanyama (maana...
Wana jukwaa,
Leo ndio siku mwenge ulitinga katika mji wa Bukoba. Moja ya miradi iliyoibuliwa na mwenge ni jengo la kibiashara la gorofa mbili linalomilikiwa na mfanya biashara ambaye ni mwenyeji...
Kigumu chama cha mapinduzi kushinda mwaka huu! VIGUMU!
Kwa jinsi walivyokataa kuwawajibisha mafisadi na hata kuwakumbatia!
NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! NI NGUMU Kudhania kuwa familia...
Gazeti moja la kila siku limeandika leo kuwa Mkapa amewashangaa Wazanzibari kukubali kuunda serekali ya mseto ya umoja wa kitaifa. Alikuwa anahojiwa na BBC.
Binafsi nimeshangazwa na kauli ya...
naam nimekutana na hii habari hebu tuisomeni kwa makini kisha tuanze kuichangia
jee yapo ya kujifunza humu ?
Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini?
Makala ya Kiongozi wa...
Mtazamo wangu: kizaza cha CCM cha kuanzia miaka ya 1960 ni kiovu na hakina uadilifu wa kuongoza. Hawa wanachochewa na baadhi ya vizee ambavyo vishakuwa vishenzi ktk nji hii kama Shimbo na Kingunge.
Nimehakikishiwa kuwa bendera za CCM sasa ni dili kwani baadhi ya madereva wa Daladala Arusha wanakunja shilingi elfu 10 kwa kukubali kupeperusha bendera za CCM kwenye Magari yao!
Mgombea wa CCM...
Jamani nimelazimika kuandika haya baada ya kufutlia ahadi za wagombea nyazifa mbalimbli katk uchaguzi ujao.
Nilichogundua ni kua bado wananchi wengi wengi haswa wa maeneo ya vijijini hawajui nin...
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi?
Mtanzania yeyote Mzalendo...
Mkapa, Malecela, Sumaye wamkimbia Kikwete
Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 September 2010
VIGOGO waastafu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali, wamekacha kampeni za mgombea urais...
Wadau mnaotambua kwa undani katiba ya nchi na pia mnaoifahamu demokrasia ya vyama vingi naomba mnipe elimu kidogo.................nimefatilia kampeni za uchaguzi kwa makini sana haswa vyama vya...
Siku ile ya tareh 5/5/2010 akiwa mbele ya wazee wa Dare s alaam JK huku akiwaita wafanyakazi mbayuwai, alitamba sana akisema. Namnukuu, Mimi ndio mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakaye goma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.