Na mwandishi Absalom Kibanda wa Tanzania Daima 6/10/2010
Wadau nawaletea kipande cha habari ndefu ya mwandishi huyu ila mimi nimependa tujadili hiki kipande karibuni;
"Ili kufanikisha hilo...
Nashindwa elewa kuna shida gani CCM? Mikutano ya kampeni ya Mwenyekiti lazima watu wachuliwe na malori na Mabasi na kupewa posho Kofia, Tshirt na Kanga ili watu wajaae hii ikiambatana na vikundi...
Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a...
Na Ruhazi Ruhazi
SIJALI bado umbali gani katika safari yetu, lakini nimepata matumani, nimefarijika na kufurahi baada ya kuona kundi kubwa la watu walipo kwenye safari yetu sasa...
Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na...
Wadau leo Wagombea Ubunge vijana wataumana katika mdahalo unaorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa moja kamili mpaka saa tatu.
Superman upo ha ha ha
Washiriki ambao wako hewani ni
ZITTO...
Jeshi la Polisi la Polisi Mkoani Mwanza limekamata gari moja la wizi kutoka nchini Kenya likiwa na mabango ya picha za mgombea ubunge jimbo la Nyamagana jijini Mwanza, ambaye pia ni waziri wa...
NINAILETA KWENU WANAJAMVINI MUOINE NIMEIPATA SEHEMU NIKAIONA NIIRUSHE HAPA, TAZAMA NA HIYO ATTACHMENT:
Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present...
Serikali yagoma kuongeza posho za wanafunzi Urusi
Na Andrew Msechu
SERIKALI imegoma kulipa posho zinazodaiwa na wanafunzi wa Tanzania waliopo katika Chuo Kikuu cha Lumumba mjini Moscow nchini...
BADO MAMBO YA KUSHANGAZA YANAENDELA KUTOKEA KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA.
SLAA AMESEMA KUMBE MNADHIMU MKUU NDIYE ALIYEPEWA TENDA ZA KUAGIZA TREKTA ZA KILIMO KWANZA ZA POWER TILLER.
KAMA NI HIVYO...
na Ali Lityawi, Kahama
Source: Tanzania Daima
MGOMBEA udiwani wa Kata ya Igunda, Wilaya ya Kahama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Malecha Kasonha (43), amefariki...
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi...
Wakuu Sijamsikia Yule mzee wa walaka wa wakatoliki Kingunge ngombale Mwiru. Baada ya kuwepo kwenye kampeni za kule kusini sijamsikia tena kulikoni? au maji ya shingo?
Naomba tusaidiane kuandika nukuu zote za ajabu alizowahi kutoa Yusuph Makamba kwa kuwa mi naona huyu mzee ndiye anayeongoza kwa kuongea mambo pasipo kufikiri kwa umakini. Toa nukuu yoyote...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Mamia ya waalimu waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani wakiingia kwa maandamano katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea ambapo Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete alikuwa...
Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI...
sijajua kwanini chadema haikushiriki ule mdahalo, au ndio tuseme hawana mgombea aliyesimama kwenye lile jimbo?(ingawa walisema kuna wagombea 3 hawakushiriki-kwani walikuwa 7).kuna mzee mmoja...
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema watuhumiwa wote walioshitakiwa katika kesi ya tindikali dhidi ya mmiliki wa MwanaHalisi wameachiwa huru kwa kukosa ushahidi!!!
Mwenye habari zaidi atujuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.