Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chemsha bongo Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu Watanzani wenzangu kuna gharama kubwa mno tutalazimika kulipa kwasababu ya ukaidi wa mgombea wa Chama cha Mafisadi (CCM) kukumbatia Mafisadi.Orodha yao ni ndefu mno walionadiwa na kuombewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama mjuavyo uchaguzi uko karibuni na si muda tutapata rais aliechaguliwa na MUNGU kama tuaminivyo sauti ya MUNGU sauti ya watu ni fuuraha yangu kuomba hata baada ya uchaguzi tuendelee kuwepo hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaelekea CCM na NEC wamegundua mbinu mpya za medani za kuchakachua kura kiulaini kwani NEC wataiagiza polisi kufukuza watu watakaokuwa wanataka kubaki vituoni ili kulinda kura kwa madai ya kuwa...
0 Reactions
116 Replies
10K Views
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, kila chama cha siasa kinaparamia jukwaa kunadi sera za chama husika. Huwa napata shida nikifikiria tutakapofika mahali kama uingereza au marekani ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasema Hivi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la wananchi Jenerali Abdulrahman Shimbo kuwa kama watawala wa kiraia kama wanataka kutawala kwa mabavu ni afadhali wakabidhi utawala kwa jeshi lililojifunza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
japo kwa sasa jk msafara wake wa angani unajumuisha helkopta 3 achilia mbali msafara wa nchi kavu unaotafuna kodi za walala hoi wa kitanzania,nimegundua kitu kimoja kwamba,kwa sasa hakuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gazeti la uhuru linaongoza maoni yake Katika maswali wanayouliza ni kama ifuatavyo? Toa Maoni Yako Hali ya Kisiasa Tanzania: 1. Inaridhisha 2. Ni Ubabaishaji 3. Hairidhishi kabisa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Waungwana bila shaka mko poa. Kadri siku zinavyoyoyoma na kampeni kuendelea, baadhi ya wagombea wanatoa ahadi ambazo ukiziangalia kwa akili ya haraka tu unaona wazi kuwa ni uongo, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dk. Slaa amesema kutokana na wananchi wa Mbeya kuwa na imani na Chadema, chama hicho kitahitimisha kampeni zake Oktoba 30, mkoani Mbeya badala ya Dar es salaam kama inavyosomeka kwenye ratiba yao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa leo (TBC) Shehe Mkuu Simba amewajia juu viongozi wa dini wanaohamasisha wafuasi wao kupigia watu fulani. Nina wasiwasi hii itaongeza tension maana...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi usiku huu nilikuwa napitia gazeti la CCM na nimeshengazwa na kukutana na kichwa cha habari kwamba tovuti yao imechakachuliwa na wahuni na waliofanikiwa kuendesha KURA YA MAONI ya URAIS...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetumia baruameme yenye picha hizi zinaonyesha tofauti kati ya uongozi-utumishi na uongozi-matanuzi. Natumai nanyi mwaweza kuzisambaza kuonyesha jinsi kiongozi muasisi wa nchi yetu alivyoongoza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
In some of the sections of Dar es Salaam city, particularly those bordering the bush, fuel wood is depended upon as a source of energy in cooking. Above, these women were caught carrying wood...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello great thinkers i greet all of u
0 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Changia CHADEMA kwa kutuma neno "CHADEMA" kwenda 15710 (Zain na Voda tu) Hili si jipya jamani ila nimeona tukumbushane kidogo kuwa nguvu zetu zinahitajika hata kama ni kidogo kidogo kuweza...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Angalia attachment
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya serikali ya CCM kufikiri kutowarudisha vyuoni wanafunzi wa vyuo vikuu inawakomoa wogombea wa vyama vya upinzani, imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutawanya wapiga debe wa mageuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, Iringa ni ngome ya CCM. Jana jioni Dr Slaa alitua Iringa na kuvuta umati mkubwa wa watu. Nilikuwapo pale Viwanja vya Mwembetogwa. Nini aliongea na kina nini ndani yake...
0 Reactions
265 Replies
22K Views
Back
Top Bottom