Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu, Ndio kwanza narejea kutoka mkoani Kagera. Nimefika majimbo ya Nkenge, Bukoba Mjini, Bukoba Vijijini na Muleba Kaskazini. Watu nilioongea nao, wengi takribani 60% wameonyesha na kutamka wazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CCM imekodi HELIKOPTA TATU kutoka Nairobi, Kenya, ambazo zinatumika kwenye kampeni ya kutafuta Urais ya JK. Gharama za kukodisha helikopta hizo ni Dola za Kimarekani 5,000 kwa kila saa moja...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nilitegemea JK kampeni zake za kipindi hiki kuwa za utulivu zaidi ya zile za 2005 kwa sababu tayari ameshakuwa madarakani na ametekeleza yale aliyoahidi. kwamba hana sababu ya kuwa na hofu kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naona chadema na NCCR wanachuana kweli they are both very intelligent, disciplined and well articulated to the province problems Nimeipenda sana na naamini kwamba hili jimbo zuri...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
*Slaa asema wanazo nyaraka za utafiti wao. *Adai kuna mbinu za 'kuchakachua' matokeo. Na Tumaini Makene CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeivaa kampuni utafiti ya Synovate...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari nilizozipata kutoka wilaya ya BUKOMBE, Shinyanga zinasema kuwa mkutano wa JK wa kampeni, uliofanyika leo hapo Bukombe umevyunjika baada ya wananchi kuanza kumzomea JK na mgombea ubunge...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Itakapofika October 31 mimi na familia yangu na jamaa zangu wa karibu hatutakua mmoja wa; wale watakaopigia kura wala kuunga mkono chama kilekile kinachokumbatia ufisadi. wale watakounga mkono...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikundi cha kigaidi cha Mafia kina njia moja ya kunyamazisha upinzani wowote ule uwe wa ndani au wa nje kwa kutoa kinachojulikana kama an offer one cannot refuse ! Kwa tafsiri nyepesi ni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya! Huyu dada naye nashindwa...
0 Reactions
93 Replies
13K Views
Kwanza kabisa Ukweli ni kwamba kura inapigwa kwa siri. Watanzania wengi sasa wanajua upi Ukweli na upi uongo Yaliotendwa na CCM yanajulikana (in black&white), hata hayakuhitaji Spika au Mabango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In about 2 days Kinana anazungumza kwamba kama Chadema itatekeleza suala la elimu bure basi hiyo itakuwa sawa na 70% ya bajeti ya serikali as of now. Wakuu are we that poor? Au takwimu hizi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi mikutano ya CCM bila kuwa mwanachama au T-shirt, kofia au khanga ya kijani na njano hurusiwi kuhudhuria mikutano yao?? Nimefuatilia picha kibao humu ndani lakini tofauti na CHADEMA mikutano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
source - Habari Leo Kikwete aahidi kutokomeza malaria kwa kuua mbu kila nyumba Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Musoma; Tarehe: 26th September 2010 MKOA wa Mara utaanza kampeni ya kunyunyizia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni jambo la wazi kuwa Kikwete anajaribu sana kuweka familia yake katika utawala wa nchi hii. Hili linaonekana wazi kwa jinzi Salma Kikwete amavyojitokeza kwa nguvu siku hizi kuongelea maswala ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Yapo maneno mengi saana yanatamkwa na waomba na wanaowaombea Kura. Mfano; 1. JK wakati yupo Iringa baadhi ya vyombo vya habari vilimkariri akisema; Chagua CHAMA na si mgombea. Wakati huu alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapiga debe na hoja zisizojaa mkononi Godfrey Dilunga Septemba 22, 2010 (Raia Mwema) WILLIAM Penn Adair, maarufu kama Will Rogers, mwigizaji na mtunzi wa filamu wa Marekani wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, jana ilikuwa siku yangu ya nne nikiwangalia JK katika mikutano yake ya hadhara "ya kampeni" lakini ukimsikiliza haongei kama mgombea bali Rais. Kwa mfano jana katika ITV alisema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JAKAYA MRISHO KIKWETE 1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi. 2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu) 3.Mtu pekee...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom