someni hiyo makala then tushauriane, ni kwanini wagombea hawakuzungumzia hali hii tete ya usalama huko Hanang'? Je hao 'majangili' wamejitangazia jamhuri yao? kama ndio huu si uhaini...
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight...
Slaa kufyeka wizara, kufuta ukuu wa Mkoa
Slaa kufyeka wizara, kufuta ukuu wa Mkoa
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 26th August 2010
MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
yuele mkurugenzi wa wilaya ya hai bwana mtega sasa yamemfika baada ya kutemwa rasmi wiki hii kwa maelekzo ya makamba na celina kombani!
amehamishiwa makao makuu tamisemi bila shaka kumkomoa...
Na haya aliyasema "UCHAGUZI wa mwaka huu kuna watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na chama. Watu wengi wenye kasoro wamejiingiza na kukichafua chama. Sasa CCM kimekuwa kama kokoro...
Ahoji Zanzibar kutofaidika na madini ya Bara
Na Salum Vuai, Maelezo
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amesema iwapo atarudi...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Mpango wa kuchangia ni mzuri. Naomba Chadema iwe wazi kujulisha wapenzi wake kuwa imepata michango kiasi gani mpaka sasa na michango hiyo imesaidiaje kwenye kampeni zinazoendelea. Hilo linaweza...
Joseph Lyimo, Simanjiro
MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa kuwa gumzo kwa wakazi wa Mkoa wa Manyara imezidi kuwapa maumivu makali...
Tume ya uchaguzi imeondoa taarifa kuhusu namna ya kupiga kura na kuhesabu kura kwenye mtandao wao www.nec.go.tz .
Hii ni makusudi kuwanyima wanachi taarifa hizo kwani taarifa nyingine zipo...
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Bukoba mjini jana amewaijia juu wale wanaolalamikia kupanda kwa bei za vitu na kupanda kwa gharama za maisha katika miaka mitano.
Akihutubia katika...
alishawahi kutoa kauli kwamba watoto wa shule za kata wanapata mimba tokana na kiherehere chao,waungwana tukajua mtu mzima alipitiwa na kuchukulia kama bahati mbaya,jana tena kwenye kampeni zake...
SERIKALI YA UMOJA ZANZIBAR KUDHOOFISHA UWAJIBIKAJI
Hivi CUF na CCM watakapokaa mezani na kuongoza serikali ya Zanzibar ni nani atakagua utendaji serikalini kama kweli unamhudumia raia...
Ukifuatilia kwa undani kampeni za wagombea wa udiwani, ubunge na urais kupitia chama cha ma.....CCM utagundua yafuatayo:
1. Wanazungumzia barabara, umeme, kilimo, ajira, maji na amani na utulivu...
Pakua ujionee na kisha nakuomba mpelekee na mwenzio kwa njia ya barua pepe. Na ukiweza print A4 ubandike ukutani dukani, mtaani na popote waliko WADANGANYIKA.
Salaamu zangu kwenu............
Jana 29/09/2010 James Mbatia, mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya NCCR Mageuzi alikuwa akifanya Mkutano wa kampeni Tegeta zaidi ya saa 12.00 jioni (12.31). Hivi James atawafaa kweli...
Nimechoshwa na ubabaishaji wa wabunge waliopita na aliyepo wa CCM, Shekifu kawa mbunge kwa vipindi viwili lushoto lakini bado huduma kwa jamii kama maji, shule, zahanati na barabara sio nzuri na...
Nyerere anakumbukwa kwa mengi katika historia ya Tanzania, lakini kubwa linalomtofautisha na maraisi wenzie ni kuwa aliondoka madarakani wakati angeliweza kuendelea, ukimwacha Abdul Wakil wa...
Hivi kwa nchi maskini kama yetu tunapata wapi ujasiri wa kutuma fedha nyingi kiasi hiki kwa ajili ya matangazo makubwa (na mengi), bendera na tshirt nyingi kiasi hiki??inatia huzuni sana ukienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.