Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Fredy Azzah AFYA ya mgombea urais wa Muungano kwa tiketi ya UPDP, Fahmi Dovutwa bado tete na yuko kitandani kwa siku tisa sasa kutokana na tumbo lake kujaa gesi, na hivyo kupata maumivu makali ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wana JF naombeni kufahamu kuna kitu nimekuwa nakisikia kwamba kipo ndani ya CCM, Kwa mfano kuna siku tulikuwa tumekaa mahala na jamaa zangu, tukibashiri uchaguzi wa mwaka 2015 kwamba ni nani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wale jamaa wanaofanya vikao vyao pale Kinondoni Makaburini kwa nyuma (Shadema) ni nani wajumbe wa kudumu katika ule mkutano wao mkubwa?Halafu wale wamama wa viti maalumu ni kina nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kura za maoni zilimsaidia Obama kuingia White House. Mimi nina amini na kuheshimu kura za maoni...Wewe Je? Karibu Jamvini 1. Tanzania Opinion Poll Service: Tanzania General Election 2010 2...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake, nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa jk na kufanya maamuzi sahihi octoba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana jioni niliangalia taarifa ya habari ya TBC1 nakuona jinsi hii TV ya uma ilivyo chafu! Walitoa habari ya ukosefu wa maji katika mjini wa Karatu. Ni aibu sana TV ya uma inayoongozwa na mtu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
The similarities in the East African electionsThursday, 30th September, 2010E-mail article Print articleBy Jerry Okungu MY interest in Tanzania’s impending elections is obvious. I am a Kenyan...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
  • Closed
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanaoleta uchochezi kwenye uchaguzi mkuu wa kila mwaka kuanzia 1995 wengine walikwisha kufa na wengine bado wapo kwa kuweka kifungu na wengine kushindwa kukibadilisha katika katiba ya jamhuri ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanzoni sikuweza kumuelewa Dr.Slaa kuhusu maagizo mbalimbali anayompa kikwete kutekeleza, na sasa nimemwelewa hasa baada ya juzi Kikwete kuahidi kujenga Reli itakayopitisha treni iendayo kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Thursday, 30 September 2010 19:54 Aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta Ibrahim Bakari, Urambo SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wanataka kujua Zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link Zitto na Demokrasia Ndio Mtajua jinsi gani Chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
NEC: Chadema acheni kauli za uchochezi Na Ramadhan Semtawa TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imeionya Chadema kuacha kauli zake za kwamba, kuna njama za kuandaa karatasi za...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
nimekuwa nikisikia ahadi nyingi sana zinazoendelea kutolewa na wagombea urais wa vyama mbalimbali vilivyosimamisha wagombea, hali hii inanifanya nijiulize hawa wagombea wamekuwa wakiishi nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tafakuri Jadidi Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jiandikishe utaarifiwe Tumeiona nchi ya ahadi kwa mbali, tusonge mbele! Johnson Mbwambo Septemba 29, 2010 MIMI ni mtu mwenye mhemuko, na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kigwangala akataliwa mbele ya JK Nzega MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Dk Khamis Kigwangala, amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kudai kuwa hawatampa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
How will the polpulation vote? Given the distribution of the population in our country, one has got to be strategic. No wonder we see some candidates concentrating on some regions for obvious...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Umetimia wakati, joka kuliondosha Tupaze zetu sauti, jitu hili kulifisha Yake haki ni mauti, ulimwengu kuujulisha, Oktoba imefika, joka hili liuliwe Kazize kuchakachua , uchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umoja wa wanyakyusa waishio jf wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Anasubiri kuwaengua kuwania ubunge Ni watuhumiwa rushwa kura ya maoni Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amewasha moto upya juu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom