Najua kua humu ndani kuna wanasheria waliobobea.Hivi CCM inapoamua kumpiga mtu au kundi la watu picha na kuamua kuweka publically kwenye mabango yao na bila ridhaa ya watu husika kwa manufaa ya...
Kuna Askofu mmoja huko Moshi alisema kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu utashangaza na kama haitakuwa hivyo basi yuko tayari kupigwa mawe.
Nakubaliana naye na hapa kuna mengi ya kuangalia.
Ndio mwaka...
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten
Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara...
...Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la D'Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amesema kwamba madai kwamba mgombea fulani ni chaguo la Mungu huo si usemi wa Kanisa Katoliki wala si msimamo wa Kanisa...
kuelekea uchaguzi mkuu,ubaguzi wa rangi,udini na ukabila vipigwe vita
Na JUMA KIDOGO
Kwanza kabla ya yote nitakuwa mchache wa fadhila kama sinta mshukuru Mungu ambaye ameniwezesha leo...
brahim Bakari, Kaliua
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete amesema anataka Watanzania wamkumbuke kwa mambo nane wakati atakapoondoka Ikulu 2015.
Kikwete alisema hayo alipokuwa...
Ndugu wanajamii,hebu tukumbushane,hivi Mgaya alisema wafanya kazi kura wampe Dr Slaa au nani? Wafanyakazi wa serikali,kampuni binafsi,wa majumbani,wa mashambani,waliojiajiri wenyewe n.k.Alisema...
1. RAISI Kikwete HAWEZI KUONGEA ZAIDI YA DAKIKA. 10 kwa kipindi hiki. Akichaguliwa ni nani ajuaye kuwa itafikia mahali ziwe dk. 5 tu.
2. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni kupuuza watanzania kwa...
Hakika katika hali ya kawaida, hakuna nchi iliyojitosheleza kwa kila kitu katika ulimwengu huu. Kila nchi ina mapumbufu au mambo ambayo hayajakaa sawa katika kuishibisha ile mihimili ya kimtazamo...
Nakumbuka wiki 3 zilizopita nilianika hapa jamvini jinsi nilivyopata taarifa kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM kuwa CCM itatumia mbinu za mugabe kutafuta ushindi wa nguvu. Mbinu hizo ni
Kutumia...
Leo wagombea ubunge Arusha mjini walishiriki kuadhimisha siku ya wazee duniani kwa kushiriki maandamo yaliyoanzia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha.Wagombea ubunge wa vyama vya Demokrasia makini,CUF...
Sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana unaendela "live" hapo EATV na Januari Makamba yumo kinyume cha maagizo ya baba yake Bosi wa CCM kuwa CCM haitahudhuria midahalo hiyo! Hili sakata...
Naomba niwajuze yale yanayoendelea na kuwasibu wenzetu wanaoitakia mema nchi yetu.
Habari hii nimeisoma kwenye mtungo wa Francis Godwin
September 30, 2010
SITAZIBWA MDOMO...
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO)
Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha...
watu wamepatwa na mshituko kuona mnadhimu mkuu wa jeshi akitoa kauli za utata,hakuna jipya ni mwendelezo wa kutoa vitisho kwa wananchi ili kuhalalisha ushindi kwa ccm,upinzani kuweni macho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.