Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wasema maisha binafsi ya wagombea si hoja Wataka uchaguzi wa amani, kukubali matokeo Chadema yawasilisha NEC mashitaka dhidi ya CCM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya photo-journalism kwa kukusanya picha za matukio mbalimbali ya Kikwete a.k.a "Chaguo la Mungu" na kumwachia tafakuri msomaji aamue kama anastahili kurejea Ikulu. MAJI BWERERE...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Thursday, 30 September 2010 19:57 0diggsdigg Brandy Nelson, Mbeya MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya mjini kupitia CCM, Benson Mpesya amewasihi wakazi wa jimbo hilo wamchague kwa mara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumempata mwanana, mpambanaji hodari Mzalendo pia mwana , mafisadi kukabiri Utani kwake hakuna, kweli yeye dakitari Siku ile ikifika, Kura zetu kwa Slaa Tumpe kura kwa wingi, uchumi kuukomboa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu mlioko mbeya tujulisheni maendeleo ya yule Mch. mwanjala aliyebebwa uchaguzi mdogo. Au pia anapumulia mashine? Na mpiganagi Sambwe Shitambala hatujapata updates zake, tafadhali zileteni hapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo ya Regia Mtema (aka gender Sensitive) kule Kilombero leo baada ya Dr Slaa kutia timu
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Dk. Slaa awasha moto upya ....Naye mgombea wa jimbo hilo (Kilombero), Regia Mtema, alisema endapo watamchagua, atahakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme pamoja na kupunguziwa bei ya sukari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wako wapi waanzilishi wa chama hiki? Mzee mwana kijiji nadhani unajua mengi, tujulishe tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KIONGOZI BENJAMIN WILLIAM MKAPA Vs JAKAYA MRISHO KIKWETE MWAKA 2000 - 2004 Vs 2005 - 2009 Unga 460 Vs 1000 = 217% Mchele 600 Vs 1200 = 200%...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kero Daraja la Mto Malagarasi linahitaji Tshs. Billioni 22 tu. Rais Bush mwaka 2003 aliahidi mabilioni ya shillingi kufua umeme kwa kutumia mto Mlalagarasi, pesa hizo zipo wapi na kazitafuna nani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The greatest want of the world is the want of men. Men who will not be bought or sold Men who in their inmost souls are true and honest. Men who do not fear to call sin by its right name. Men...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale...
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Leo Dr Slaa ametinga ndani ya mji wa Ifakara na kufanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kutokea hapo, kufuatana na habari nilizopata kutoka kwa swahiba wangu kule. Anasema ingawa mkutano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Karibu usikilize ujumbe huu http://www.youtube.com/v/-k3asX6VDAQ?version=3
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hata na mimi sijala Ndio, 'hata na mimi sijala, mwananchi' ni maneno yanayotamkwa na Permanent Secretary katika shairi la 'Building the Nation" lililoandikwa na Henry Barlow wa Uganda. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu hakuna asiyejuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa mtaji huu hata ukiangalia votes katika blog hii kama kungukwa ni mpambano wa viongozi wawili nadhani Doctor anekuwa kama na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi na hata hapo nyuma tumeona kuwepo kwa mgombea mooja ambaye sera yake ya kuwa saidia watu wa chini au ulemavu ni kupiga nao picha au kutoa hela zake (za mfukoni/ikulu) na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hotuba ya Dr, mwakyembe leo iliambatana na mbwembwe, matusi na dharau za kila aina, Lakini matusi yalizidi pale alipotaka wananchi wamchague kikwete na wananchi kupinga wazi wazi. Alianza...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
"We built up the infrastructure," he said. "The difficult part was getting the people to change their habits so that they behaved more like first world citizens, not like third world citizens...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wakimwelewa vizuri hususani lile tukio la kutaka kumwondoa Mwalimu madarakani, watupatie dataz za huyu bwana, bila shaka ataendelea kukumbukwa! Whether kwa mazuri au mabya, that...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom