Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
JK: Mpeni kura Jah People, atawasaidia Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Njombe; Tarehe: 25th September 2010 @ 23:00 MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Njombe Kaskazini, Deo Sanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kabla na wakati wa kampeni za uraisi na wabunge kuanza, Chaka-Chua Mafuta (CCM) na mgombea wake wa urais kwa ushirikiano mkubwa na mkewe walitengeneza slogan ya kampeni ya kitanda kwa kitanda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Please, naomba mod asiipeleke MADA hii kwenye JUKWAA LA SHERIA, naamini imekaa kisiasa pia na kule wanaoingia wengi ni wenye interest na SHERIA,huku wanaingia wengi sana…. Wadau...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimesikitishwa sana na baadhi ya magazeti kutoa habari za uchaguzi kwa upendeleo Nimefuatilia upande wa picha UPINZANI FRONT page ni mgombea na watu 5 mpaka 7 chama tawala Mgombea na mamia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
( Kutoka kwanzajamii.com) Early last year, Maggid Mjengwa, owner of Mjengwa blog, invited me to write a column for Kwanza Jamii, a weekly paper he was starting. For most of the year, I wrote this...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA's EDUCATION PLAN IS NOT A HOAX IT IS A LONG AWAITEDIn Response to Tayari's Article : Is CHADEMA's Education Plan a Hoax? by Deus Valentine on Sunday, September 19, 2010 at 8:16pm I am...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Wasira: Msiuze urais kwa 20,000/- Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Bunda; Tarehe: 25th September 2010 @ 23:40 Imesomwa na watu: 152; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
(Rutashubanyuma Nestory – A public policy analyst based in Arusha.) During my last visit at Arusha main market recently, I overheard a frenzy discussion among a congregation of...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika gazeti la The Citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa CRDB Bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha CCM ishinde uchaguzi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kikwete: Vyama vya upinzani ni 'fotokopi' 25 September 2010 Jakaya Mrisho Kikwete Imeandikwa na Ibrahim Bakari, Tarime na Anthony Mayunga, Serengeti MGOMBEA urais kwa tiketi ya kupitia CCM...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari hii hapa chini iko kwenye tolea la sasa la Arusha Times. Inaonekana mafisadi wakiona hawana sapoti mahali wanatumia fedha kuhujumu uchaguzi ujao. Tufanyeje? Voters reported to sell their...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
(By Rutashubanyuma Nestory a public policy analyst based in Arusha.) Once more, this election season confirms certain habits stubbornly persist to survive even the harshest of economic times...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
As a CCM presidential candidate in 2005, Kikwete made some lofty yet grim prognosis of two opposition presidential rivals: Kikwete had promised he would seal a demise of political careers of CUF...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
(By Rutashubanyuma Nestory – A public policy analyst based in Arusha.) Of lately, we have come to learn two more CCM cabinet ministers have successfully remonstrated to civil servants...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walisema maoni ya wanaJF haya-reflect hali halisi ya wananchi wakasema tena hata polls zao haziwatishi, refer hotuba ya JK kwenye ufunguzi wa kampeni ya CCM kabla ya kuanguka alisema hababaishwi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KANDAMIZA: MBUNGE & MKUU WA MKOA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye wimbo wa Adela auweke hapa kwani unamafundisho makubwa hasa kipindi hiki cha uchaguzi UPDATE: Huu hapa chini
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Waungwana naomba mnijuvye, kutokana na hali ya ushindani inayoonekana katika Uchaguzi wa Rais mwaka huu, endapo ikitokea hakuna aliyepata angalau asilimia 50% ya kura au zaidi kuweza kuunda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom