Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kikwete comes under fire over graft suspects By Bernard James, The Citizen Chama Cha Mapinduzi’s commitment to fighting corruption has come under scrutiny, with critics accusing its...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ratiba ya kampeni ya Dr. Slaa imepangwa na tume au CHADEMA ndiyo ilipendekeza. Naona ratiba hiyo haiyapi baadhi ya maeneo umuhimu unaostahili kwani anachukua muda mfupi sana na hafiki baadhi ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
NANUKUU KWA KUSEMA Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
TUKO HIVYO Hatuoni Hatusikii Tunadanganyika kirahisi Tunafuata mkumbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Triumph and heartbreak: Ed and David Miliband Ed Miliband has been steadily emerging from his older brother's shadow since entering the Commons in 2005, four years after David, writes Glen...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mwanakijiji's column in This Day of today is an interesting one. May I request the learned Mwanakijiji to translate this into our beloved Kiswahili and get this same article published by the...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Kuna aina nyingi za viongozi, wapo wale ambao wao wenyewe wamejijenga (self-made) na wapo wale ambao mfumo uliopo umewajenga (epigone). JK ni matokeo ya udhaifu wa mfumo wetu wa kupata viongozi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba niishie hapo kwa sasa....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mgombea aliyenunua Kadi za kupigia kura Uchaguzi mkuu. Siku ya Jumamosi nilisikuliza Radio Wapo FM. katika kipindi kilichorushwa saa za jioni kati ya saa 12 na saa moja, ilitolewa habari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, mimi ni mgeni katika forum hii lakini kuna jambo moja nimelikumbuka ambalo huu ndio wakati wake muafaka. kuna walaka wa maaskofu waliouzindua mwaka huu ambapo baadaye waislamu nao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MGOMBEA wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Monduli kupitia tiketi ya CCM, Edward Lowassa, jana alizindua rasmi kampeni zake akiwa na kauli mbiu ya aina yake kwa wananchi wa Monduli. Kaulimbiu ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje Lowasa ambaye alilazimika kuachia ngazi ya uwaziri mkuu kwa makosa aliyoyafanya anendelea kugombea? Je ni uhaba wa watu safi wenye uwezo wa kugombea, au ni ufinyu wa mawazo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajf mimi nimesafiri kidogo niko mkoani kwa week tatu sasa, nimekuwa kifatilia HABARI ZA MAGAZETI lakini gazeti la MWANANCHI Imekuwa inanichukua siku mbili kupata hardcopy ya gazeti la jana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajanvi, nawasilisha Wadau inaonyesha kweli mnataka mabadiliko ya dhati. Ujumbe huu uwasaidie kufikia maamuzi ya dhati 31 Oktoba 2010. Mimi siwaambii nani mumchague lakini ninyi mnajua nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpambanaji Mabere Nyaucho Marando leo ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA. Taarifa za uteuzi huo zilitolewa leo kwenye Kikao cha Kamati Kuu. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
[quote="Field Marshall ES, post: 1104301"] CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: ! Na kutoka Michuzi blog ! Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau wa JF nimeikuta hii katika gazeti la mwananchi leo. Makamu mwenyekiti wa Nec, Jaji Omar Makungu alisema kauli kwamba Dk Slaa hataingia Ikulu, inaumiza lakini ni juu ya Chadema na Dk Slaa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
NI KWANINI WATANGANYIKA WENGI WANAOISHI ZANZIBAR WANAKIUNGA MKONO CHAMA CHA MAPINDUZI? Mwanzoni wa kuingia vyama vingi Tanzania, kulikuwa na upotoshaji mkubwa unaliofanywa na Vyama vingine zidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bado nasisitiza kuwa wakazi na wenyeji wa Jiji hili wamekuwa wakituangusha au kutopenda mabadiliko pamoja na mkwara wa kujifanya wanajua siasa au wanapenda mabadiliko kwani ukitazama rekodi za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom