Juzi baada ya ule mdahalo wa ubunge vijana pale movenpic kulikuwa na taarifa ya habari ambapo rais anayemaliza muda wake abeid karume alitangaza na kufanya sherehe huko zenj ya kufuta kwa ada...
BAADA YA CCM KUTUMIA FEDHA, MAGARI, NA RASLIMALI KIBAO ZA SERIKALI KATIKA KAMPENI ZAKE, SASA IMEANZA KUTUMIA WAFUNGWA NA KUPIGA WANYAMA PORINI KWA AJILI YA KULISHA MISAFARA YAKE YA KAMPENI...
Kama kuna watu wanaosoma nyakati basi huyu babu alikuwa amejaliwa kimaanayake...
wakati wa kuchagua rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania alipopambanishwa
kikwete,mkapa huyu babu alioengea mengi...
Wadau jamvini,ni mara ya pili sasa namuona mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete (akilindwa?) na askari kadhaa toka Jeshi la Wananchi...sijaelewa kwamba ni sababu au mahitaji yapi yanafanya hali...
Na Peter Mwenda
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amewataka wakristo kufuata dhamira ya Mungu ya kuchagua viongozi ambao hawawarubuni kwa...
Nimeamua kusema haya ili kuwatanabaisha wale wanaodai kwamba sisi tutachagua sisiem kwa sababu tumezaliwa katk sisiem.
Hii ni kushindwa kutafakari na wakati mwingine ni mwendelezo wa propaganda...
Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa ni "laana" za mpemba mmoja.
Dereva huyo (kwa sasa ni marehemu) hivi karibuni aligonga...
Inatia moyo kuona uchambuzi wa aina hii from our feloow country man, lakini inasikitisha sana kwamba walengwa ambao ni wale wa hali ya chini na wenye elimu duni wengi wao hawatapata nafasi ya...
Katika tukio jingine, jana magari ya msafara wa Rais Kikwete yalizuiwa kupita katika hifadhi ya Serengeti kwa madai kuwa hayana kibali kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii.
Magari manane...
Tulinyanyaswa kiasi cha kutosha,tulitawaliwa kiasi cha kutosha,tulionewa kiasi cha kutosha,tulinyonywa kiasi cha kutosha na tulidhalilishwa kiasi cha kutosha na wakoloni.Tumenyonywa kiasi cha...
Saturday, 25 September 2010
MWANDISHI mwingine wa magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), amepata misukosuko kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
KIONGOZI BWM Vs JK
MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009
]Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg =...
(By Rutashubanyuma Nestory – A public policy analyst based in Arusha.)
No politician todate places the opposition closer to the ultimate prize of winning the presidency than Dr. Wilbard...
CCM, CHADEMA wakatana mapanga
Mmoja anyofolewa sikio, ashonwa nyuzi nane
na Mwandishi wetu
KAMPENI za uchaguzi mkuu wa urais, ubunge na udiwani, zimeanza kuingia dosari baada ya vijana...
Wafungwa Waandaa Mkutano wa CCM
HALMASHAURI ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeingia katika kashfa nzito baada ya kujihusisha na maandalizi ya mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya...
Habari wadau..taarifa zisizo rasmi toka kwa wanafunzi wanaoendelea na cohort ya 7 ya Law School of Tanzania zinasema kwamba wanafunzi wenzao karibu 30 wameacha kuendelea na masomo kutokana na...
Jamaa zangu wa CCM hapa Arusha wamesema watendaji serikalini haswa serikali za mitaa ndiyo tegemeo lao la kuokoa JK kupoteza pango hapo Ikulu.
Tetesi hizi zinazidi kubainisha ya kuwa watendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.