Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Watanzania wameshakubali kufanya mabadiliko makubwa. Rais Jakaya Kikwete ajiandae kuaga Ikulu, astaafu baada ya mika mitano ambayo haikuleta matumaini yaliyotarajiwa. Serikali isitumie mabavu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katika gazeti la MwanaHALISI Uk. 2 imeonesha kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa na CCM kwa serikali kutokana na kukodi ndege ya serikali kufanya kampeni yana warakini. ... kwenye hati ya madai ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJF tumesikia habari mbalimbali ambazo zilionesha njama za kifisadi za CCM dhidi ya mali za umma au/na dhidi ya vyama vya upinzani, mfano wa Salma na Ridhiwani-matumizi mabaya ya fedha ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitendo cha bwana wasira kusema Dr Silaa ni Muongo ni uzandiki na akikubaliki. Yeye ni sehemu ya Mafisadi, sasa anaposema Elimu ya Bure haiwezzekani ni kwanini, embu hela za kagoda, tangold...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nawashangaa wale wote wanaoziponda kura nyingi anazopata Dr Slaa katika kura za maoni kupitia mitandao – mfano Daily News, Mwanahalisi na hata humu JF. Jibu ni rahisi – shule. Wanaompa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dk Slaa, Prof Lipumba mambo bado moto WAGOMBEA urais kwa tiketi ya vyama vya Chadema na CUF jana waliendelea na kampeni zao wakitumia mbinu tofauti za kujenga hoja, huku Willibrod Slaa akimtaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zanguni kuna mgombea ubunge kupitia ccm,siku nilipomuona nilistuka km vile nimemuona rostam aziz yule fisadi namba1 na ambaye ameiweka nchi mfukoni.........nataka kujua kwa wale wenye data...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
As far as I have known Jakaya Mrisho Kikwete, HE is very much in LOVE with the PRESIDENCY. His ambitions was to become the president of the united republic of Tanzania which he acquired in 2005...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari za kuaminika zinasema kuwa leo ule mdahalo ulioandaliwa Zanzibar, wahudhuri hawakufika isipokuwa Maalimi Seif Sharrif pekee yake. Maalim Seif akihojiwa na waandishi wa habari aliieleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ahadi alizotoa JK kwamba atajenga barabara ya kiwango cha Lami kutoka same mjini kupitia Kisiwani, Ndugu, Kihurio na kutokea Mkomazi ni utapeli mkubwa, uongo na uzandiki. Barabara hii imepewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana nauliza matokeo ya kipima joto cha Itv,mwenye taarifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31. Mnaweza pia kuziba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali aliyekwisha pata gazeti la Mwanahalisi la leo tafadhali tujuze yanayo endelea. Siko katika nafasi ya kupata hilo gazeti siku nzima ya leo, tafadhali naomba nipate japo headlines. Thanx...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Ndugu wana JF nataka niwape taarifa nzuiri leo ambayo kila mmoja wenu ataiafiki. Mhe DK Jakaya Kikwete amefanikiwa kwa kishindo utekelezaji wa ILANI. Kuna mambo mengi yanadhihirisha hilo kwani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu Mtu akiingia madarakani 1: Elimu bure mpaka form Six, Wengine wamesema hawawezi 2: Katiba mpya ndani ya siku 100 3: Mafisadi kukiona cha mtema kuni, maana alipokuwa Mbunge tu aliwatetemesha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
RAHA YA KULIWA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata mail hiyo hapo chini nani anaweza kunidhibitishia ni saidieni wakuu sababu pressure inapanda nakushuka Kikwete apewa report ya kura za Slaa Habari zilizopatikana ndani ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The universally famous expression, ‘Charity begins at home', marked the arrival to Arusha yesterday, of Chadema's presidential candidate, Dr Willibrod Slaa. Business came to a standstill...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ule wa kuimaliza CHADEMA! na Janet Josiah na Charles Ndagula, Moshi MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kunasa waraka wa siri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mgombea CHADEMA apigwa kinyama na Violet Tillya, Arusha MGOMBEA udiwani kwa tiketi ya Chama Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Mjini Kati, Salumu Seif Simba, amelazwa katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom