Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu nitajaribu kama net yangu itakuwa sawa. Nimepita pale uwanja wa Mashujaa na kukuta umati wa kweli. Nyomi ya kufa mtu. Kwa bahati mbaya niko on call hivyo sikuweza kukaa sana. Kaa mkao wa...
0 Reactions
55 Replies
14K Views
Aliyempinga mtuhumiwa mauaji ya albino atupwa Asema si shabiki wa siasa za makundi, Mungu atamlinda KATIBU wa CCM Mkoa wa Kigoma aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu Raia Mwema Septemba 15-21 (Ukurasa wa Tatu) Katibu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Moudline Castico, aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge anayehusishwa na kashfa...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wadau, kesho fiesta wapi?. Maana,hawa wasanii sijawahi kuwaona live.Maana nimesikia wenzetu Iringa wemejinoma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...! Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...! Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...! I...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Luis Moreno-Ocampo - Mahakama ya THE HAGUE. Karibu Tanzania uje ukamate Viongozi wa Serikali watakaoiba kura na kusababisha vurugu. Tunaomba Luis Moreno-Ocampo awatahadharishe viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Nani kateua mhuni kampeni za CCM? Na Anthony Mayunga Mtendaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba ametetea chama chake, kwamba hakihusiki na tukio la kufukuzwa kwa waandishi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa francis Godwin hivi punde kutoka Njombe zinadai kuwa msafara wa Helkopta za Jakaya Kikwete zimepotea na kushindwa kutua Lupembe na badala yake kushindwa kufanya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ee KIKWETE Uliye tufilisi, Jina lako USANII MTUPU, utakalo lifanyike BAGAMOYO TU, utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani, uwape WASTAAFU pesa zao, uwasamehe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akiwa mkoani Arusha mgombea urais wa Chadema Dr W. Slaa amelalmikia jinsi chama tawala – CCM – kilivyoleta hali ya vitisho kwa wafanyabiashara pamoja na wale wadogo wadogo kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 22nd September 2010 BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa kushiriki midahalo ya wazi, mdahalo mwingine umeandaliwa ukilenga baadhi ya wagombea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yamesemwa sana nami nimeshuhudia. Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Monduli akihaha kutafuta vifaa kama maturubai kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Je kama kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
WATANZANIA UPINZANI SI KUPINGA NI KUTOA MAWAZO MBADALA Inapofikia wakati watu wanapotoshwa kijinga jinga tu kuna hatari taifa likaangamia au kutoweka kabisa. Kwa jinsi vyama vya upinzani vilivyo...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kikwete ni mdhaifu, muungwana au mateka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kata ya Kati mjini Arusha Bwana Simba aumizwa vibaya kituo cha polisi wilaya ya Arusha.Bwana Simba alikamatwa na polisi kwa sababu ambazo bado...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa Mtu anaitwa Nyaruba katumwa toka jijini DAR kuja Musoma kwa ajili ya kumdhuru mgombea wa chadema vicent nyerere ili ccm ipate unafuu...., habari zaidi soma hapa MWANA WA AFRIKA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dr. Wilbrod SlaaTusianze kushangilia ushindi kabla hata kipenga cha mwisho kulia. Sote tuendelee kuhamasishana kuchangia ili wagombea wetu wote waweze kushinda. Vijana jitoleeni muda na vipaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Katika pitia pitia zangu kwenye vyombo mbalimbali vya habari pamoja na hapa JF tokea kampeni zimeanza kumekuwa na habari nyingi sana za wagombea wa kambi ya upinzani kujitoa kwenye ugombea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom