Hayo ni matokeo ya ripoti moja iliyotolewa jana.. HABARI NDIYO HIYO!
CHANZO: Habari Leo
UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo, umebaini kuwa kati ya wanafunzi 10 wanaomaliza darasa...
Ndugu zangu;
Kuna mtu alikuwa analalamika kwamba serikali imesababisha bei ya bia kupanda toka 900/-TZS mpaka 1,500/-2004 to 2010.Nikamuuliza bei ya soda ya Coke nchini Kenya,Afrika Kusini au...
wadau napenda kufahamishwa ni
kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.?
Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi.
kampuni...
Wakuu kuna hii habari hapa chini:
Tanzania imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 : The Global Heabeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika...
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri...
Wadau, ningependa nijue huyu bwana mdogo ("First brother") wa TZ huwa anaongea nini huko anakozunguka akipiga siasa. Maana najua huyu dogo hana point kabisa, nataka yeyote anayejua ambayo huwa...
MJUMBE wa Kamati ya Kuratibu Kampeni za Urais za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Raphael Chegeni amelisakama gazeti hili akidai lina agenda ya siri ya kukihujumu chama hicho na kuipendelea...
== Kabla ya kuamua kuitupilia mbali hoja ya mgombea binafsi wa urais?
... waliogopa kuwepo watu waliomashuhuri na kuaminika kuweza kumpiku urais Mh. Kikwete?
... waliogopa kura kutawanyika sana na...
Half of Std 7 pupils 'illiterate' Wednesday, 22 September 2010 09:55
By Subira Kaswaga
Despite the enormous advance in education made possible by investments worth trillions of shillings each...
Ukitaka kujua mambo yanavyokwenda ndani ya CCM, msikilize mama Salma, kwa jinsi asivyokuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo basi ya ndani yanatoka nje. CCM kumtumia Salma ni sawa na mwananke...
Watoto wa shule wakiwa kando kando ya barabara kumsubiri mgombea urais kwa tiketi ya CCM JK kwa muda huu walitakiwa wawepo darasani kujisomea na kufuta adui namba moja Ujinga nchini.
Hawa ndo...
CCM Union presidential candidate Jakaya Kikwete, has assured farmers of swift purchase of their crops.
Addressing residents of Babati in Manyara Region on Sunday, Mr Kikwete said the government...
Kitendo cha wana synnovate kuja juu kwa hasira nyingi za kufikia kutaka kushitaki vyombo vya habari vilivyoripoti habari zilizotolewa na mbowe kwenye mkutano wa hadhara kinatia shaka sana kama...
Prof Ibrahim Lipumba
Exuper Kachenje na Hawa Mathias
CHAMA cha Wananchi (CUF), ambacho kimekuwa kikidai kuchezewa rafu katika kuhesabu kura, hasa visiwani Zanzibar, kimeibua tena wasiwasi...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Tanzania imefanya vizuri katika elimu, kupunguza umasikini na kukabiliana na magonjwa ya Malaria na Ukimwi.
Alisema juhudi hizo zinafanyika, ikiwa ni katika...
Upinzani ukituzidi tutawatumia Mwinyi, Mkapa-Kinana
Mwenyekiti wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi
Mwenyekiti...
nimemuona JK leo kwenye taarifa ya habari akihutubia sehemu flani..yaani kachoooka, sauti yake as if kabanwa na mafua kwa wiki ka 7 hivi, isitoshe ile smile yake ilipotea kabisa, nadhani ingekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.