Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
JK DAIMA NI MWENYE HURUMA! .jpg"] Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Joyceline Paulo huko Rusahunga wakati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Pinda, jana tarehe 19 Septemba 2010 alipokea Tuzo kutoka Umoja wa Mataifa kwa mafanikio Tanzania iliyopata katika uandikishaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk. Slaa apiga kambi kwa Freeman Mbowe Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika Jimbo la Hai kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu kampeni zianze nimegundua kuwa JK na CCM wako mbali na watanzania, wamejaza picha kila mahali mf kuta za nyumba, nguzo za umeme, mabango makubwa. Pamoja na jitihada hizo mvuto wao hauko kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umaskini uliokithiri kwenye maeneo mengi hapa nchini unaelekea kuwa tishio la kuchangia kutokuwapo kwa mabadiliko yanayotarajiwa kwa kuwa hivi sasa asilimia kubwa ya Watanzania walio maskini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Meya wa manispaa ya Kinondoni aliyemaliza muda wake, Salum Londa, `amemnanga' mgombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee, kuwa anatumia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kila dalili, ishara, hamasa,viashiria kwamba mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia zaidi ya 88, hii inatokana na utekelezaji wake Ilani , mshikamano uliopo ndani ya CCM ,IMANI YA WATANZANIA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MGOMBEA urais wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani hapa, Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha Zanzibar inapewa mgawo wa asilimia 11.02 badala ya 4.5...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumeshaona mara nyingi mambo ya serikali yakishughulikiwa na familia ya Kikwete. Pamoja na kusemwa sana hadharani, ndio kwanza familia hii inaendelea na mtindo huo. Mfano mmoja ni huu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Monday, September 20, 2010 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika jimbo la Hai kupitia chama hicho...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona wanazipa uzito habari za Chadema peke yake???Au ndo mvutia kamba???Kama ni hivi na tusimlaume mtu si ndio?
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Can we take a break and at least discuss something worthy discussing?How the Grameen bank project became a reality?How we can have effective plans for solar power in our villages?How we can set up...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Muheza atimkia CCM. This is his confession.Siasa za Bongo safi sana. YouTube - Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Muheza ajiunga CCM (MIchuziBlog)
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tarishi Hauwawi. Election Campaigns and Politics of Performance For some obvious reasons I am not a fan of election campaigns. I don’t like attending or analyzing them. To me leaders emerge –...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo ni siku ya amani duniani katika kuazimisha siku hii.,napenda wana JF waenzi japo kwa muda wa siku moja( yaani leo hii au 31 november ) kwa kudumisha amani ambayo misingi yake ilishafanywa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania imepokea tuzo kwa kuandikisha watoto darasa la kwanza 95% kwa Afrika kama sehemu ya utekelezaji wa MDG 2 (HabariLeo 21/09/2010). Kutokana na reports za MDGs ni asiye mwelewa wa MDG 2 ndio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwa ana taarifa za matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Synovate zinazoeleza kuwa mgombea wa chama chake, Dk Willibrod Slaa aliongoza kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Usiku wa leo nimekosa kabisa usingizi kwa kuufikiri mstakabali wa nchi yangu chini ya chama filisi cha CCM. Msongo huu wa mawazo ulinifikisha mahali pa kujiridhisha kwamba chama...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Tanzania imepewa TUZO kwa kuweza kufanya vema kuhusu kuandikisha watoto kwenda shule ya Msingi. Hii ni moja ya mambo muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania. Serikali imefanikiwa sana kwa hili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom