Awali katika uchunguzi huo wa kina wa waandishi wetu ambao walifanikiwa kumkuta Mahimbo akiwa amejificha juu ya ghorofa, nyumbani kwa kigogo mmoja wa serikali hapa jijini Dar es Salaam...
Hii hapa imeripotiwa na IPP kutoka Musoma jana.
Tangold ambayo tulielezwa ni ya serikali ilisajiliwa Mauritius na mmoja wa wanahisa ni Andrew Chenge, lakini tunaambiwa mwenye hisa anaweza...
Ukifuga mbwa akiuma watu njiani unashtakiwa wewe mfugaji.
Sasa ukichagua viongozi wabovu, wezi na wasiojali umma wa watanzania kama inavyoonyesha, utakuwa umeshiriki moja kwa moja kuharibu nchi...
Japo mie mgeni
Kunako jamvini
Si wa fikra asilani
Hilo nataka mbaini
Enyi wana wa nchi
Nchi yenu i uchi
Mabedui wanaisachi
Toka enzi i bichi
Wameishika pabaya
Waichezea ka' malaya
Mwasikia enyi...
Mkutano wa Bilal wakosa watu,
Magari yakodishwa kuuokoa
Fukuto la kura za maoni lingali linachemka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi cha kuathiri mahudhurio ya wanachama kwenye mkutano wa...
Hivi mwandishi gani wa TBC yuko kwenye msafara wa Dr SLAA,? maana, lipumba ameambatana na NOELI MWAKALINDILE, Kikwete amepewa pia mwandishi.Naombeni msada wenu .
Hata baada ya tuhuma lukuki za rushwa na ubadhilifu, familia ya mwanasiasa wa kinyantuzu, Andrew Chenge, imezidi kujiimalisha kisiasa baada ya mkewe kupitishwa na chama chake kuwania ubunge viti...
Tanzania and Malawi are neighbours whose borders were artificially drawn up by colonial masters as they shared among themselves Africas main resource - the land - like a wedding cake.
Had it not...
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya...
huyu jamaa ni noma wazee, kafanya interview moja bomba sana,ni sawa na ile aliyoifanya DK SLAA wiki mbili zilizopita na george kanuti njogopa wa claus ingawa sikuwahi kuirekodi lakini ya huyu...
Ruling party playing 'dirty' ahead of polls - Chadem
Jakaya Kikwete on the campaign trail. Picture by Leonard Magamba
Monday, September 13 2010 at 17:36...
Hivi imetokea sasa kwamba CHADEMA hiyoo imechukua nchi,hivi vyombo vya habari hasa vya serikali TBC,Habari leo vitajificha wapi? maana waliyekuwa wakimponda na kumrushia vijembe ndio amekuwa bosi...
Wakuu, Nilikua nawaza sana kuhusu midahalo ya Urais kabla ya uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba SISIMU imekataa mdahalo kwa nini tusiwe na mdahalo wa vyama vingine vilivyobaki? Mdahalo live uandaliwe...
Mgombea Mweza CCM, Dk. Mohammed Gharib Bilal
Fukuto la kura za maoni lingali linachemka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi cha kuathiri mahudhurio ya wanachama kwenye mkutano wa kampeni...
UME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeitaka CCM) kungoa mabango ya picha za mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete zilizopigwa kwenye maeneo ya Ikulu.
Mwenyekiti wa Nec, Jaji Lewis Makame...
With all due respect, Mr Seif Sharif Hamad, tell us the truth on:
"We have a lot of Zanzibaris in the Diaspora. If CUF wins this election we are going to put them into use and help the country...
Dr SLAA, yes we can, huyu ni mtanzania wa pili kwa nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo, ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo, ni Dr. Slaa aliesimama mnazi mmoja kutaja...
Hii ni mara ya pili Mama Salma Kikwete anaingilia mikutano(msafara) wa mgombea urais wa Chadema Dr. Slaa.
Mara ya kwanza ni wakati ratiba ya mikutano ya Slaa ilikuwa inaonyesha angekuwa Mbulu...
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.