Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Miaka mitano ya awali nilikuwa najifunza na kupata uzoefu wa urais, Naombeni mnipe nafasi tena ya miaka mitano 2010-5 tuweze sukuma gurudumu la maendeleo. Wenyewe mnaona foleni zimeongezeka hapa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Pichani ni mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha CHADEMA,Bw.Ally Khalfa Mleh Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
hapa ilikuwa ni katika kampeini ya chadema jimbo la bukoba mjini katika eneo linaitwa buyekera. Chadema wanakata mbuga...................
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MICHUZI Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais JK. Hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM yapata pigo jingine Mwananchi, Saturday, 11 September 2010 09:35 Waandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo lingine baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuyatupa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
* Hamad Rashid apigwa butwaa Katika hali ya kushangaza, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Londa, jana aliwagawa waumini wa dini ya Kiislamu, baada ya kupiga kampeni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Utawala wa Salmin Amour, Zanzibar iliwahi kuajiri majaji wa Kinaijeria.Najua pia kuwa Tanzania hupeleka majaji kufanya kazi visiwa vya Shelisheli kwa sababu, kutokana na udogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"...In his campaign trail at Duga village in Mkinga Constituency, Dr Kikwete expressed displeasure over failure to implement his directive of providing Horohoro border police station with a...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapo juu ni Handeni, na hapa chini ni Mrorogoro. Kwa nini pikipiki hizo zinafanana sana, na hata waendeshaji wanaelekea kuwa na tabia zinazofanana ?.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Waungwana nime washa tv naona live mdahalo wagombea ni wa nne tu, chadema cuf, udp tlp mgombea wa chadema anonekana muelewa zaidi swali la kwanza wanamikakati gani kwa akinamama, vijana,na walemavu
0 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Closed
What else could you say?Tovuti ya Raia Mwema-jarida tulilokuwa tukiliamini kwa taarifa zake fasaha- ina habari za toleo la wiki iliyopita.Kumbuka hilo ni jarida linalotoka once a week kwa hiyo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wazee angaliene Ni watu gani walikua wana contribute bungeni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mgombea wa urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa amesema; Uamuzi wa CCM kukataza wagombea wake kushiriki midahalo ya kisiasa ni aibu kwa mwelekeo wa demokrasia...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenzenu nina masikitiko makubwa sana! Nimetoka kumsikiliza mbunge mmoja wa Marekani akisimulia ambavyo nchi yake ilikampeni na kutenga karibu Milioni 23 (kama si bilioni) dola za kimarekani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Gazeti letu pendwa tunaomba mumuoji shekh yahaya juu ya afya ya kikwete anaonekana anajua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimeota ndoto. Ni kama tarehe 1 nov hivi ambapo zoezi la kuhesabu kura za urais linaelekea kukamilika. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa Dr Slaa anaongoza kwa kura kwa %85 hivi. Nchi nzima...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimesikia tetesi kuwa Ndg. Oscar Mukassa ambaye ni mgombea ubunge Biharamulo Magh. kupitia CCM amepandishwa kizimbani Kwa kutoa nyaraka (vyeti) feki alivotengeza mwenyewe kuonyesha kuwa mgombea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimetumiwa waraka huu kwa email kutoka kwa jamaa mmoja anayeishi huko mikoani. Nawabandikia wadau ili muone ushauri wake. Soma kwa makini: sambaza ujumbe huu uwafikie wapiga kura wote waliopo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom