Wakuu si ushabiki ila nasema ki ukweli kabisa for the first time katika uchaguzi huu tunaona CCM - Ikiweweseka, juzi na jana nilikuwa Arusha nimezunguka sana mjini, talk of the town ilikuwa CCM...
Wadau samahani kuiweka hapa, Mods please iondoe after 1 day ili tupate na kama ipo same mada, please iunganisheni..
..Tumekuwa tunawasiliana na ndugu na jamaa zetu waliopo nje ya TZ kwa sms, lkn...
Tulisikia kuwa wakati wa utawala wa mkapa,hakuna aliyenyongwa.je kuna mwenye kujua kama kikwete kanyonga au lah? Na vipi vifo kama cha yule trafic suzana wa musoma!
nimeangalia leo ITV baada ya taarifa ya habari Dr Slaa alikuwa kiongea, ghafla alipoanza kuzungumzia ufisadi, akakktishwa na baada ya matangazo wakaweka kipindi cha igizo!
kweli huyu shujaa...
Nimejiuliza leo, ni nani na NAMNA gani wahusika wanachagua sehemu ya kufanyia Swala ya EID?
Nakumbuka Kinana aliwahi kusema Mgombea uraisi wao atarudi Dar kwa ajili ya mapumziko na kushiriki Eid...
wakuu habari za Sikukuu?jamani nimekaa nikafikiria kuna sababu kubwa sana ndani ya SiSi Njemu kukataa Debate kwa Mkulu wao na hii ni shinikizo la makamba(The Fataki),Kikwete alianguka Jangwani...
Kwa niaba yangu binafsi, mgombea mwenza, timu nzima ya uongozi wa Chadema na Chama chetu tunawatakia heri ya Siku Kuu ya Eid El Fitr ndugu zetu Waislamu pote Tanzania wanaposherehekea kumalizika...
Ningependa kufahamu kipindi kama hiki cha uchaguzi mkuu serikali inakuwa wapi na majukumu ya rais ni yapi na mipaka yake ni ipi. Nadhani wengi tungependa kufahamu hili. Nimeuliza hivi maana leo...
dalili hizi ni tosha kuwa chadema sasa imeshakamata nchi
dalili ya kwanza
ratiba ya kampeni ya ccm imebadilishwa ambapo mgombea urais sasa hatapumzika
dalili ya pil
ccm wameshaonesha...
Ninapenda kuongea na mashabiki wa CCM. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana hasa ni nini CCM INACHOTAFUTA? Nimefahamu na kugundua kuwa CCM inachotafuta ni ulaji tu na sio kweli kuwaletea...
Niko Bongo kwa muda, nimejaribu kuzunguka maeneo ya Mjini,Upanga, Mchafukoge,Kariakoo...n.k.Nimekutana na mabango makubwa ya ccm yenye wagombea wa udiwani na baadhi ya Wabunge yote yana picha za...
Jana mitaa ya huku kwetu Mabibo kulikuwa na mkutano wa kampeni za uchaguzi wa udiwani na ubunge ilifanyika hapa kigogo-luanga kwa biti kahenga,kiukweli kabla ya muh. Julius Mtatiro kuingia,yule...
KIJANA Mohammed Ali Mohammed amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mmoja wa walinzi wanaolinda nyumba ya makamu wa rais Dk Ali Mohammed Shein Maisara Mjini Unguja.
Mtu ambaye anatuhumiwa...
Hii nimeiona Michuzi blog:
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Kikwete, ameendelea kuvua wafuasi toka vyama shindani katika mikutano ya...
Umewahi kuwasikia hawa, labda tungekuwa na sampuli kama za hawa nchi yetu ingekuwa tofauti
Fred Rwigyema
Alex Kanyerengwe
Sir Agathon Rwasa
Pasteur Bizimungu
Faustin Twagiramungu
Jean-Bosco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.