Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
TBC wanaoendeshwa kwa kodi yako wewe na mimi. Hawa ndio waliotumiwa na Rostam Aziz kuihusisha kwa nguvu zote CHADEMA na Kifo cha Wangwe. Mnaweza kukumbuka mtiririko wa mambo waliyoyafanya. Hawa...
0 Reactions
168 Replies
16K Views
Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU? Picha kwa Hisani ya SUMO
0 Reactions
44 Replies
14K Views
KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Arusha sasa hapakaliki, Lema anakata Anga na kuwa tishio kwa Buriani, Cha ajabu buriani badala apambane kiwachani anatafuta ushindi wa mezani kwenye tume ya uchaguzi. Analalama nini? si aendeleze...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WaTarime hata mimi nawaogopa!Hao jamaa wamezoea kuuana hivyo si rahisi kuacha mila na destuli yao!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanitatiza hapa. Inakuaje - katika vyama vikuu vya upinzani – CUF inaonekana kulala usingizi? Hivi hili pingamizi Dr Slaa alilomuwekea JK kuhusu "hongo" kwa wafanyakazi CUF wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waungwana ni nini kinaendelea? magazeti yote yaliyo mrengo wa kushoto kwa serikali website zake hazipatikani www.freemedia.co.tz/daima www.raiamwema.co.tz www.mwanahalisi.co.tz zote zina kama...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wachambuzi wa mambo wanafahamu dalili zote za mataifa yanayoelekea kwenye anguko. Bahati mbaya zimeanza kuonekana hapa kwetu kwa miaka sasa na viongozi wetu hakika hawajaweza kuliuona hili ama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu elimu ya chuo kikuu imeendelea kudhalilishwa huku serikali ikifumbia macho jambo hili. Majoho tuliyozoea kuona wahitimu wa vyuo vikuu wakivaa miaka ya hivi karibuni yamekuwa mavazi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa wanaJF, ni yamkini tulifuatilia kwa makini tangu mbio za uraisi zilipoanza rasmi 20/08/2010 pale ambapo wagombea wote wa viti vya urais na wabunge walipotakikana kwa utaratibu, kurudisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM ni chama cha fitna na kimekuwa reduced such that everyting in CCM kina bei yake, hata uraisi. Ni chama kilichofilisika kisera na ndiyo maana kiko bize kununua affection. CCM na wapambe wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mkuu wa kaya ame ahidi kwenye kampeni kanda ya ziwa kuwa kuna barabara itajengwa kwa msaada wa serikaili ya marekani, ziko wapi tsh 300 kwa lt ya mafuta zilizoingizwa kwenye bajeti ya zakia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa msafara wa mgombea kwa ticket ya CCM umepata ajali baada ya gari la ulinzi kupinduka. Taarifa zaidi zinasema hakuna majeruhi makubwa ingawa imesababisha usumbufu mkubwa katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nimesoma kwa masikitiko makubwa sana kwenye gazeti la majira la leo kuwa jaji anasema pingamiza la dr slaa kwa kikwete juu ya kukiuka sheria ya gharama za uchaguzi ni gumu kwa vile anapendwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu yangu Mtanzania Nimeandika makala, ambayo ni wosia wangu kwako. Tafadhali usome, nimeyaambatanisha kwenye waraka huu. Utakapotafakari na kuelewa nilichokuasa, tafadhali fikisha ujumbe kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majuzi Alhamisi nilikuwa sehemu nyakati za jioni hivi, nikasikia kwenye taarifa ya habari ya Redio Uhuru ikisema kwamba Mwenyekiti wa WAMA (ile Taasisi ya Fisti Ledi wa inji hii ya Bongo)...
0 Reactions
5 Replies
38K Views
Muda mfupi uliopita nimetoka kushiriki kwenye mdahalo wa kuandaa Agenda za Vijana za Tanzania tunayoitaka leo na baada ya uchaguzi kwa kifupi Ilani ya Vijana. Mjadala huu uliandaliwa na Asasi ya...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Kwa bahati mbaya chama changu kimekuja na hoja nyepesi sana hoja ambazo hazipo kwenye ilani bali zinatoka kwenye vichwa vya wagombea wa chama changu kiasi ambacho naamini baada ya kutoka kumwaga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
President Kikwete has been having his lips dripping with the words of incompetence and unreliability since coming to power, and it's become nearly impossible to keep track of them all. With his...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom