Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huyu sijui TAKUKURU wamemkosaje? Alikuwa anatoa rushwa waziwazi. Shughuli zake hazieleweki vizuri na kuna malalamiko mengi dhidi yake toka kwa wananchi juu ya Ujambazi. Hivi Millenium hii ya...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Sasa naona ccm wameamua kuhamishia kampeni zao kwenye magazeti ya mwanachama wao shigongo kama ijumaa,risasi,champion,magazeti ambayo yanawadharirisha mama na dada zetu kwa habari zao za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona kwenye list ya wagombea wa CCM kuna wagombea kadhaa ambao elimu yao ni shule ya msingi, swali langu je hawa wakiwa kwenye kamati za bunge wataweza kutusaidia? Mfano mikataba karibu yote...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
........................................ CURICULUM VITAE(BIODATA) Full Name: Willibord Peter Slaa. Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania. EDUCATION: PRIMARY: 1958-1961...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatimaye Mkapa aikana Kiwira RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa amevunja ukimya na kutoa kauli kuhusu tuhuma zinazomkabili za kununua mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira, akisema: "Hayo ni maneno ya...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ukweli gazeti la Rai la leo tarehe 26Aug2010 limeniboa sana. Kwamba ni mwendawazimu tu ndie atakayempigia kura upinzani. Hoja yenyewe sio ya kweli zaidi ya upotoshaji. Kwamba wapinzani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
na Grace Macha, Moshi UMOJA ya Makanisa ya Kikristo mkoani Kilimanjaro, umetoa waraka unaowataka wananchi kuchagua viongozi bora, huku wakisisitiza umuhimu wa kuchagua watu badala ya vyama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
LICHA ya sheria na kanuni za Uchaguzi kuzuia matumizi ya magari ya serikali, msafara wa mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete umetumia magari kadhaa ya serikali katika mikoa ya Mwanza, Geita na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wote tumeona jinsi JK alivyoanza kampeni yake kwa rafu kubwa (achilia mbali ishara ile (tafsiri utakavyo) iliyotokea Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni. Rafu hizi, kama alivyoziainisha Dr...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Takukuru yakamata mgombea aliyejitoa Adaiwa kuwa alishawishiwa kwa fedha Awekwa chini ya ulinzi Makao Makuu Dar Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna habari kwamba waandishi wa habari hasa kutoka habari corporation wanatumika katika kampeni za kumnadi Rais Kikwete, na wale wote wanaokwenda kinjume na maslahi ya CCM wanafukuzwa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukimya wa Reginald Mengi wa IPP, aliyewahi kuapa hapo nyuma kuwa moto aliouwasha dhidi ya wahujumu na mafisadi wa nchi hii kamwe hautazimika, unatisha. Kwa mbali nakumbuka hotuba ya Jakaya Kikwete...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
To what extent i dont know.... On the morning of July 15, I spoke to William Mitchell Law Professor and international criminal defense attorney Peter Erlinder about the grisly assassination...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete Na Waandishi Wetu Wakati Shirikisho la Vyama vya Wanyakazi nchini (TUCTA) likidaiwa linajipanga kutoa tamko la kuwataka wafanyakazi wote nchini kutompigia kura Rais Jakaya...
0 Reactions
66 Replies
11K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUJITOKEZA KWA UKIUKWAJI MKUBWA WA MAADILI YA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI KATIKA HABARI ZA UCHAGUZI MKUU Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2010...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kinachooonekana kuwa serikali ipo hoi kifedha kwa mara ya kwanza tangu tatizo la kuchelewesha mishahara kuwa historia nchi hii ..watumishi wa uma wameanza kupigwa kalenda kupewa mishahara...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
ALIYEKOSA nafasi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rachel Mashishanga, ametangaza kumuunga mkono Fred Mpendazoe anayewania ubunge...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kikao kilichoitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa K'njaro ndg. KAZIDI, wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi na kuhudhuriwa na wanafunzi wa vyuo kadhaa vya mjini Moshi, kiliazimia kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom