inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya...
Spin masters kama kawaida yao!
Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????
Wana JF, ma hasa wale Waisilamu napenda kuwafahamisha kwamba kuna uwezekano mkubwa JK hakuwa ana mazoea ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani -- ila ameanza kutimiza nguzo hiyo miaka hii...
Kitu kinachonikera kwa tv zetu zote hasa wa startv na TBC ni pale wanapoacha kazi yao na kujiingiza kupiga kampeni. Wanaeleza hisia juu ya chama fulani kuliko kufanya kazi ya kuripoti kile...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
wimbo wa harambee unaotumiwa na ccm utakuwa mzuri tu pale ile sehemu ya kuwachanachana na kuwatupa wapinzani itakaporekebishwa kwani inaweza kuleta hisia za ubaguzi kwa watanzania wengine...
Wana JF, tumeona jinsi Tume ya Uchaguzi (NEC) ilivyakazania kuvisainisha vyama (kwa maana ya viongozi wao wakuu) kwenye hati kwamba watafanya kampeni za kistaarabu, bila vurugu, bila matusi etc...
Ndugu wanaJF,
Ibara ya 63 na 64 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inataja wazi wazi Majukumu ya Mbunge ni "Kuisimamia na kuishauri Serikali kwa niaba ya wananchi wa Jimbo analotoka"...
Mambo vipi wadau?
nimesikiliza hotuba ya mgombea wa c.c.m kiti cha uraisi huko kirumba mwanza leo.................katika hotuba yake amesema amejitahidi kutoa nafasi mbalimbali za maamuzi kwa...
Mi naomba kuuliza hivi taratibu za kuchukua fomu za kugombea ubunge haziambatani na vyeti vya kuzaliwa? inakuwaje mpk Mgombea anaporudisha fomu na baada ya pingamizi ndo suala la vithibitisho vya...
Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na...
Baada ya harakati za uchaguzi, mambo mbalimbali yamekuwa yakijitokeza, hapa tutakuwa tunaweka hints ya vituko mbalimbali vilivyojitokeza na vinavyojitokeza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 31...
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee...
Ndugu zangu watanzania wenzangu (kama kweli mi ni mtanzania kwa mujibu wa CCM)
Uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na wimbi la watu waliokuwa wanajijua kuwa ni watanzania kumbe kwa mshangao wao...
Mimi nikiwa kama mpiga kura, nimeamua kutomchagua KIKWETE, hata kama kura yangu haitasaidia kitu bado nitafurahi kuweka alama ya NO kwake!! Sabau zangu ni hizi hapa:-
1. Chini ya uongozi wake...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Zuberi Kabwe amejipanga kikamilifu kulitetea jimbo lake la Kigoma Kaskazini na kurudi bungeni kwa kuweka program ya michango...
Nimewasikia kupitia vyombo vya habari kwa nyakati tofauti Katibu Mkuu wa CCM Yusuph Makamba na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara wakisisitiza kuwa CCM ina Wanachama Million 5 na kuwa hizo...
Kwa wanaopenda Masumbwi, bila ya shaka mtamkumbuka bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Mohamed Ali ambaye umahiri wake umeacha historia.
Bondia huyu anapokua ulingoni, huwa raundi za mwanzo harushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.