Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Binadamu wenye ubinadamu tunasikitika sana na kumpa pole JK kwa kuanguka jukwaani akiwa kwenye kazi za chama. Tunamtakia afya njema rais. Hali hii imemtokea JK mara nyingi akiwa kwenye kazi za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jijini Dar es salaam, mgombea urais wa CCM, Kikwete ndiye aliyekuwa wa kwanza kurejesha fomu na alisindikizwa na mamia ya wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamevalia nguo za rangi ya kijani na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeendelea kufungua threads nyingi za uchaguzi na kuzisoma, kinachonishangaza ni watu wengi kuwa na imani za gizani, ati CHADEMA ishinde uchaguzi wa kiti cha Urais bila maandalizi! Mimi nadhani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Habari nilizozipata muda mfupi uliopita zinadai Mhe. Mohammed Dewji mbunge wa Singida Mjini ameshinda kesi iliyokuwa imefunguliwa na wapinzani wake na yeye kuwashinda katika pingamizi alilowawekea...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau, Kampeni ndio zimeshaanza rasmi. Lakini nashangazwa na baadhi ya Tv stations na blogs maarufu hapa nchini kuonyesha habari za CCM tu kana kwamba ndio chama pekee cha Siasa hapa nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu leo nimesikia asubuhi katika radio Wapo kuwa kuna baadhi ya majimbo wagombea ubunge wa CHADEMA hawakurejesha fomu zao hadi ilipofika jana kwa muda waliotakiwa. Majimbo hayo ni pamoja na...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Ndugu wanaJF najua mnalichukulia kwa uzito mkubwa suala la kutenda haki katika uchaguzi wa mwaka huu. Naamini kuwa kwa kiasi kikubwa utakuwa mchango mkubwa katika kuwezesha taifa letu kukombolewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANAFICHA UKWELI,WANALAZIMISHA WATU WAENDELEE KUCHOKONOA NA KUDADISI,HAWAPO MAKINI NA KAULI ZAO,WANA UPOFU WA FIKRA WA KUSHINDWA HATA KUKUMBUKA KAMA JANA WALIZUNGUMZA NINI NA LEO WANAPASWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pichani wasanii mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na watu wengine wakimimika hivi karibuni kwenda kuviona hivyo viwanja vyao vinavyodaiwa kuwa ni "FEKI"! Angalia video hapa chini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka niliwahi kusema kwenye Post yangu ya kwanini tumeamka sasa na sio simetime before kwamba tunahitaji rais anayemjua mungu na kumtegema mungu katika uongozi wake, anayejua kulitumikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nin hawa madaktari wanaoshughurika na afya ya JK wanapenda kutoa majibu mepesi, kila anapoanguka tunaambiwa sukari ilikuwa imeshuka, uchovu wa safari, tulimshauri apumzike akagoma, na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Wanabodi, Katika Mchakato wa kutafuta wagombea Ubunge kupitia Chama Tawala (CCM), kumetokea mwamko mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida kutaka ridhaa ya kuwawakilisha wenzao Bungeni...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga … atakuwa na tabia hiyo hiyo. Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu. Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tena nahisi kwa mtu aliye makini, kibwagizo hicho ni tusi kwake! Ni tusi kwake kv mtu yeyote kupandikizwa kitu ambacho si sahii na kumtaka akiamini tafsiri yake ni kwamba umemuona juha! Kama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
In very vageu terms, general argument, generic terms and generalization of everything, Kikwete has asked Tanzanian of their votes to continue with his presidency. No that I was expecting...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii kwanza imenishtua, nikajenga attention, then ikanifurahisha... Very creative
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii michezo ya kuigiza itakwisha lini? Watanzania tumechoshwa na michezo ya kuigiza, vyama vya upinzani vikuwa ni vichekesho vitupu, sisemi kwamba watanzania hatuna uchungu na nchi yetu au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CRUSHING POVERTY - These kids are forced to perform what could easily be defined as one of the worst forms of child labour by helping their parents to crush stones into gravel for sale to builders...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu tunaomba updates juu ya safari ya Mwanza kwa mgombea wa ccm, je amefika? na nini kinaendelea??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
siku ile CHADEMA wamehutubia Jangwani, eti kumbe vyombo vyenu vilikua vibovu,na mlikua "WAUNGWANA kwerikweri" mkaomba radhi...leo vyombo vyenu ni bomba mbaya, mmeweza kurekodi ipasavyo...ila...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom