Dr Slaa akiwa wodini
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk. Willibrod Slaa, amelazwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Blogu hii ilizungumza na Dk Slaa hospitalini hapo, akasema alilazwa...
Ndugu wadau, huyu mwanaharakati amekuwa kimya sana kuelekea uchaguzi mkuu. Kuna taarifa zozote juu ya ukimya huu au anavuta pumzi kwa ajili ya kampeni ili waunganishe nguvu na Marando?
ILE MISEMO YA KISWAHILI ISEMAYO "WA MBILI HAVAI MOJA" NA "HATA UKIOGA NA KUOGA VIZURI HATA MJINI HUENDI" IMEANZA KUJITOKEZA NDANI YA CCM BAADA YA HALMASHAURI ZAKE ZA WILAYA, MIKOA NA TAIFA KUANZA...
MAANDAMANO, urudishwaji wa kadi na vurugu zimeendelea kutawala maeneo mbalimbali nchini kutokana na wanachama kupata taarifa kutoka ndani ya vikao vya kamati za siasa za mikoa za CCM zinazoonyesha...
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) umeamua kuingilia uhuru wa wafanyakazi kwa kupanga kuwashawishi kumchagua mtu unayemtaka awe Rais wa Tanzania.
Kaimu Katibu Mkuu wa...
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!!
nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo....
7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:-
(a) .............
(b) ........
(c) Kuteua...
Nimekuwa nikifuatilia historia za nchi mbali mbali kuhusu njia mbali mbali walizotumia na ambazo wanaendelea kutumia ili kupambana na rushwa. Mojawapo ya nchi hizo ni uholanzi. Wanasema hata wao...
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema...
*Ahamishia Ofisi ya Spika wa Bunge Urambo Mashariki
*Thamani yake yamduwaza Kikwete, asema nchi itafilisika
Na Waandishi Wetu
MBUNGE wa Urambo Mashariki, mkoani Tabora, Samuel Sitta...
Wakuu kama kuna mtu anayejua namna sera ya uongozi kwa majimbo inavyofanya kazi anijuze hapa... Inaonekana sera hii imeweza kuleta mafanikio makubwa katika nchi kama Rwanda na Finland...
Leo katika umbeya wangu wa kisiasa nimepitia tovuti ya The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage kuangalia taarifa za vyama vya siasa nchini, miongoni mwa vituko ni huyu katibu wa DP...
Slaa achukua fomu, hajathibitishwa
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 10th August 2010 @ 08:35 Imesomwa na watu: 356; Jumla ya maoni: 1
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hivi hakuna namna nyingine ya kupata uongozi km hizi tunazozitumia. Aina hii inagharama kubwa saana hata ethics wise ni tatizo saana. Ni lazima nchi iongozwe kwa utaratibu wa kisiasa au kijeshi...
Ndugu wana jf naomba kuuliza swali ni yupi anafaa zaidi kuchanguliwa kuwa mbunge yule mwenye uwezo mkubwa wa kuibana serikali itimize wajibu wake kwa raia huku akiwa na uwezo mdogo sana wa...
Watanzania tumegubikwa na jinamizi la kuwafanyia siasa chafu watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu yenye tija na nchi yetu. tumekuwa vipofu wa kuona yale wanayofanya viongozi hawa wenye bidii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.