Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MMMhhhh jamani jamni sisiemu hii sio ile kabisa wapendwa najiuliza nyerere alienda zikwa na sisiemu yake mbona aibu zinazidi kuwatokea puani siku hadi siku ni wapi rais kikwete utakimbilia na aibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, nimeona hii picha kwenye mwananchi online, jana pale Tanga mambo yalikuwa yamenoga kweli. Hizi nguo nyekundu na zile sare za chadema naona zinafaa sana kuikomboa nchi yetu toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika taarifa yao ya saa moja usiku huu, kituo cha Channel Ten kimeonekana kimewafanyia Chadema uharamia kwa kutoa footage ya mkutano wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Jangwani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Presidential Trust Fund(PTF) chini ya Rais Jakaya Kikwete Huu mfuko umegeuka kuwa wa kisiasa badala ya kufanya kazi za kitendaji. Huu mfuko chini ya Dr Chijoriga, waliokopa wanaandamana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwamba Rais wa Tanzania anatakiwa kuwa Mkatoliki au Muislam. Fuatilia tulipotoka, tulipo na tunakoelekea.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU, Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kuwa Dokta Slaa ameanza kampeni kabla ya Muda. Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia Watanzania pindi akichaguliwa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimepata taarifa kuwa Rais JK amewapandishia mishahara Askari wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi asilimia 40 kwa cheo cha SSP (Polisi na Magereza)! Kwa wenye akili timamu tunajiuliza kwa nini...
0 Reactions
27 Replies
17K Views
CCM imezoea kumtumia Malecela unapotokea uchaguzi ambao ni uncertainty, walifanya hivyo Busanda na Biharamulo. Kuna wakati niliwahi kumsikia Malecela akilalamika eti CCM inamfanya kama tingatinga...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, naona mchecheto unazidi kukikumba moja ya chama Kikongwe kabisa barani Afrika yaani CCM, nasikia Mkuu wa Kitengo cha Propaganda ( Hivi inakuwaje chama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo katika Jimbo la Karatu mrithi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo amechukua fomu kwa maandamano makubwa na kusindikizwa na wananchi wa mji wote wa Karatu. Huyu anaitwa Israel Yohana Natse...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF wenzangu, kwa mara ya kwanza nimeamua kusema yanayonikera humu ndani kwani kuna watu humu wamekuwa mbele saaana kuvunja harakati za mapambano dhidi ya ukombozi wa nchi yetu. Sote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu! New CCM primaries system still marred by corruption, fraud By Rodgers Luhwago 8th August 2010 Contrary to expectations, the newly introduced system by...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya Makamba wakati Kikwete akirudisha form ya kugombea uraisi Kwa miaka mitano umeonesha umahiri mkubwa, na nataka kukuambia kazi ya kukurudisha Ikulu ina wenyewe. Nawaambia wenzangu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama kuna mwenye data, jk amepata wadhamini wangapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Uhakika zinasema kuwa, viongozi wooote waandamizi wa CCM hivi sasa wapo kwenye mkakati madhubuti kuhakikishisha kuwa Dk Slaa hafui dafu kwa JK. CCM imeshtushwa kwa kiwango cha juu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, matokeo ya kura za maoni yanaonesha kuwa Mh Edward Lowassa has won big, na Mh Basil Mramba has won big. Swali linakuja, ni kwanini haa jamaa wamepata ushindi mkubwa? NI kwamba wanafaa zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom