Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwita Waitara Mwikwabe ameshinda kura za maoni za CHADEMA kwa kura nyingi dhidi ya Mbunge wa Sasa Charles Mwera, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri akimfatia. Nafasi ya tatu imeenda kwa John...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Stephen Ngonyani alias Prof. Maji Marefu amemshinda dokta Edmund Mndolwa kwa kula 12,441 dhidi ya 2,289 za Dokta Mndolwa. Naona bunge la safari hii lina watu kutoka 'matabaka yote'. Zaidi soma...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo Mmoja wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wa uongozi wake Julias Kambarage aliwahi kutoa nasaha nyingi, miongoni mwa hizo nasaha kama vile kuwambia watu wake msije mkafanya makosa na kumpa urais John M. Na miongoni mwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Katika gazeti la Majira la tarehe 04.08.2010, Bw. Paul Mhozya amepinga Mahakamani Kikwete kugombea Urais 2010 Kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
05 August 2010 Joyce Joliga, Songea WAFUASI wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakisubiri kumdhamini Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie ndiye muajiri mkuu nisikilizeni mimi, msimsikilize Mgaya (Kaimu Katibu Mkuu TUCTA) mtafukuzwa kazi wala Mgaya hamtamuona! Mtapoteza haki zenu…akili ni nywele kila mtu ana zake mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza huyu Lameck Airo ndo mwenye Lacairo Hotel Mwanza Kirumba? Atangaza kumvaa baba yake kwenye ubunge Mbunge wa sasa wa jimbo...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Kikwete alikuja na falsafa yake ya Ari mpya Nguvu mpya Kasi mpya Kwa kifupi ANGUKA. Sasa naona inafanya kazi..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni katika jimbo la Kilindi. Shelukindo apata kura 12,040 dhidi ya kura 2,939 za Kigoda. Hongera sana Beatrice Shelukindo.....kila la heri
0 Reactions
13 Replies
5K Views
  • Closed
:crying:Wapendwa, Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais. Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Slaa awaambia wafanyakazi, Nazitaka kura zenu Thursday, 05 August 2010 06:36 Baptist Mapunda,Songea na Charles Mwakipesile, Mbeya MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jully 2010 DONOR FUNDED PROJECTS Hospital to benefit from Sh30m drug IMA World Health has donated drugs worth Sh30 million to the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) for treatment of burkits'...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ukifikiria kwa haraka haraka, namna watu maarufu walivyoshindwa katika chaguzi za CCM unaweza ukahitimisha kuwa wananchi wameamua kubadilika. Lakini huu ni upande mmoja tu wa angalizo. Upande...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawashauri wapambanaji wa ufisadi walioangushwa kwenye kura za maoni wajiunge na vyama vingine na wakagombee ubunge kwenye majimbo ambayo wagombea wake ni utata mfano: Selelii akagombee igunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADHI yetu hatuna kawaida ya kuunga mkono wanasiasa kwa kiwango tunachoonyesha sasa kwa Dk. Wilbrod Slaa. Wanasiasa ni vigeugeu; wengi ni wasanii na mafisadi. Watakutumia leo...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom