Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Najua tupo 2010 na hata uchaguzi wa mwaka huu hauja isha. Najua bado watu wapo katika hali ya furaha na matumaini mapya kusikia Mh. Slaa ana gombea uraisi. Najua wengi wetu tuna tamani muda uwe...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Muda mfupi nimetoka kwenye mkutano wa Dr. peter W. Slaa hapa Iringa. Kaongea mengi sana. Lililonigusa ni sana ni hilo neno '' yeye kasema hataki kura zenu, mimi nazitaka'' Sijui nyinyi mnasemaje?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
. 1.Wajumbe 2.Rachel Mashishanga 3.Freddy Mpendazoe. Aliyekuwa Mbunge wa Kishapu CCM na baadae kukihama chama...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Na Makumba Mwemezi - Majira RAIS Jakaya Kikwete amewekewa pingamizi kortini kugombea urais mwaka huu kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari zake za...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Written by GODFREY KAMBENGA Wednesday, 4 August 2010 The Tanzanian government will spend over US$66.67 million to conduct the forthcoming national population census scheduled for August...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kura zimejitokeza 1,000 eneo la msitu wa Mabwepande. Wanachama wa CCM wakiwepo baadhi wa wagombea wamepanga kuandamana leo baada ys kura karivia 1,000 kujitokezaeneo la msituni wa Mabwepande...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nilizaliwa kabla Tanganyika haijapata uhuru. Nilikuwa na akili zangu na kutambua vizuri siku Tanzania ilipopata uhuru. Niliouona muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Niliona kuanzishwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa watu wana mizaha sana, lakini kwanini hotuba za Kikwete hazina nguvu wala msisimko kama zile za Mwalimu? Hata kiutendaji Nyerere alimzidi sana Kikwete. Je kulikoni kwenye kambi ya Kikwete?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Si wabunge wote nawaongelea hapa, Mbunge kama Sleeliii, Kimaro na wengine, natamani wajiunge na kambi ya Dr.slaa. kwanini wasikaribishwe?...na, nimefurahi sana kwa malecela na bakari mwampachu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwanini Makamba na JK walimtaja sana Dr Slaa ktk hotuba zao jana?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeguswa sana na mwanasiasa huyu jinsi ambavyo anahangaikia maslahi ya wana wa nchi hii. Hivi ndugu Mtikila ni wa wapi kwa maana ya mkoa wilaya, kipindi fulani nilisikia anatokea Ludewa ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A South African court has sentenced former national police commissioner Jackie Selebi to 15 years in jail for corruption. Selebi, a former president of Interpol, was convicted in July of...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je hatuoni umuhimu wa Kuwa na ThinkTank za aina mbalimbali nchini kote, au katika kila fani ya maisha yetu? ThinkTank hizo zingeweza kuiamusha au kuishtua serikali yoyote iliyoko madarakani, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongereni sana kwa kazi kubwa mnayofanya ya kuikomboa nchi yetu. Kama Mtanzania naomba, PAMOJA NA MAMBO MENGINE, mniruhusu kupendekeza yafuatayo ili yawasaidie katika kutimiza ndoto ya kushinda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
HABARI TOKA JIMBO LA MTERA LINASEMA MGOMBEA LIVINGSTONE LUSINDE AMEMSHINDA MH. JOHN SAMWEL MALECELA KATIKA KURA ZA MAONI NA ANATEGEMEA KUWA NDIYE ATAYEPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Huruma Mkuchika, amepita katika kura za maoni ------- Naibu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndiyo, nimeshinda kwenye kura za maoni tena nimewaacha mbali sana wapinzani wangu. Sina shaka na kupitishwa na chama kwani sikupata tuhuma zozote zinazothibitika za rushwa ama nyinginezo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mungu ibariki Afrika 1. Mungu ibariki Africa Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Chorus: Ibariki Afrika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CCM picks Dr Slaa’s namesake for Karatu constituency From MARC NKWAME in Arusha , Total hits: 128...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom