Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kikwazo kikubwa cha kuleta mabadiliko ya kweli nchi hii ni wasomi na wakaazi wa maeneo ya mjini. Nimesoma kwenye threads nyingi hapa, watu wengi wenye mashaka kuwa DR Slaa hatapita ni watu ambao...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Baadhi ya waumini wa makanisa mbalimbali mkoani hapa, wako katika kilio kufuatia kitendo cha mgombea Ubunge wa CHADEMA aliyerudisha fomu, George Mtasha (50) kudakwa na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani any updates kuhusu mgombea urais kwa ticket ya NCCR Mageuzi, ameshatangazwa? mana nilisikia wanamtangaza leo..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi kwamba nimechoka kuwa vuvuzela na badala yake naingia ulingoni kugombea udiwani katika kata moja ya huko Kwetu kwa tiketi ya Chadema. Hivi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete ameushangaza umma wa Watanzania baada ya kuanza kukiuka misingi iliyokiunda Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kuwaheshimu Wakulima na Wafanyakazi pale alipokutana na wazee wa MSkoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni wa kasulu, anagombea ubunge moshi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hatua nyingine, wagombea wawili wa udiwani walizimia kwa nyakati tofauti baada ya kusomewa matokeo ya kura zilizopigwa, huku yakionyesha wao hawakupata kura hata moja licha ya kujipigia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau mimi nipo kahama na ni mwanajamii sasa nataka kupata uhakika hili jimbo analogombea lembeli lipo au wamemfanyia usanii wamtosee? hebu wenye taarifa na sio tetesi watuweke wazi maana haya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
WanaJF naomba mnijuze... Asubuhi ya leo nilimsikia Mnyika akisema kuwa mchakato wa kumpata mgombea ubunge Rombo umekamilika na ulikuwa mkali sana. Nani kashinda?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HOTUBA YA MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) JOHN MNYIKA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAWAKILISHI WA WANAVYUO VIKUU VYA MKOA WA DAR ES SALAAM KATIKA VIWANJA VYA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mbona sijamskia Wilfed Lwakatare kama amechukuwa fomu? na anagombea jimbo gani? kile kifaa mbona kiko kimya namna hii? Huko Kagera ina maana Chadema haina mikakati ya kuzoa majimbo?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF mimi Binafsi nimefurahishwa sana na suala la CHADEMA Kumteua Dr. wetu achuane na "mbayuwayu" katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Nimefurahishwa kwa sababu atatoa changamoto na kama siyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Shigongo (wa Global Publishers) na Meya Kimbisa wamechukua form kutafuta nafasi za ubunge. Shigongo inasemekana anakwenda jimbo la Buchosa na Meya Kimbisa anaenda Jimbo la...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
kwenye uchambuzi wa magazeti wa radio mbalimbali leo tumepata kusikia ya kwamba mkurugenzi wa uchaguzi rajabu kiravu amekanusha uwepo wa jimbo jipya la ushetu. siku za karibuni imepata kusemwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari muda mrefu na watu mbalimbali wakilaumu kwamba watendaji wa JK wanamwangusha na hawaendani na "kasi yake". Ninashindwa kujua nini maana ya kasi hii kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rajab Kiravu amesema hana taarifa za tume hiyo kutangaza jimbo jipya la uchaguzi la Ushetu mkoani Shinyanga. Kiravu alisema hayo wakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gwynne Dyer MONKEY see, monkey do. Soon after France’s National Assembly passed a law making it illegal to wear a full-face veil in public, British MP Philip Hollobone announced a private...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Marando *AAHIDI KUMPIGIA DEBE DK SLAA NCHI NZIMA Ramadhan Semtawa WAKILI na mwanasiasa mwanzilishi wa mageuzi, Mabere Marando, amejitoa NCCR- Mageuzi na kujiunga Chadema huku akieleza kuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom