Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa. viongozxi wa vyama vigine...
0 Reactions
128 Replies
15K Views
Kibinafsi napata kichefuchefu ninapoona ushabiki wa vyama unaendana na kuvaaa nguo zenye rangi ya bendera za vyama.. Jamani hivi kasumba zimepitwa na wakati. hata hao wachina wa enzi za Mao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KAMANDA mpambanaji wa CHADEMA john john mnyika anatarajiwa kuibua ufisadi unaofanyika kwenye jimbo la ubungo na manispaa ya kinondoni kwa ujumla habari hizo toka chini chini zinasema mbunge huyu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WANA JF, JE KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA CHA TSH 135,000/= MNAKIONAJE? TAARIFA ZISIZO RASMI ZINASEMA SERIKALI IMEGOTEA HAPO HAITAKI KUPANDA HATA KUFIKIA 150,000/= NA KODI WAMESHUSHA KWA ASILIMIA 1...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakati tunaelekea katika uchaguzi dalili zinaonyesha kuwa kama vyama vya upinzani havijawa makini na kuweza kuja na ajenda ambayo itawawezesha kuaminiana na pia kujenga imani kwa wapiga kura basi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila Mtanzania mwenye akili timamu,na mwenye uchungu wa dhati kwa nchi yetu anatambua kuwa miaka mingine mitano kwa JK ni mithili ya kuisukuma nchi yetu kwenye tanuru la vurugu na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu tunapoelekea 2010, kuna kauli ambazo naomba mzifuatilie sana. 1. Nimeombwa na wazee, na wananchi wa jimbo fulani nigombee. 2. Baada ya kushauriana na watu fulani nikashawishika kuchukua...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeiambatanisha hotuba ya JK kwenye attachment hapa chini, ipo kama word document, naamini ni rahisi kwa wengi kuipata na kuipitia.
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Wadau nijuzeni... Hivi utitiri wa watu kutangaza nia za kugombea ubunge... ni hela za bwerere... Ni kuongeza wigo wa kuatamia fursa za mahela... Kujiongezea umaarufu hata kama watshindwa... Ama ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msomi Ajitosa Udiwani Kata Ya Magomeni 1.Jengo la ofisi ya CCM Kata ya Magomeni. 2.Ndugu Ally Zawadi {kulia} ambaye ni mhadhiri(Lecturer) wa chuo cha usimamizi wa fedha {IFM} akichukua fumu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kama kuna taarifa ya wagombea ubunge mkoani Tabora, hususan Nzega, Urambo na Igunga .... mwenye taarifa naomba azimwage hapa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana-JF wenzangu, nisaidieni, maana nimechanganyikiwa. Hivi karibuni vyombo vya habari, hususan magazeti, vimekuwa vikiripoti vituko, vurugu, umafia na ufisadi katika kampeni za uchaguzi za CCM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi Naomba tujipe changamoto ya kuchagua any Decsion Making Post/Position nje ya urais. Baada ya kuchagua tutaje vission/mission zetu katika kutekeleza kazi kazi hiyo post. Jaribu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajfnina kiu ya kujua nani atamrithi dk.slaa karatu.nia zaidi kuweza kufahamu jinsi chadema itakavyo weza kuweka mtu ambaye hatatuangusha,je kuna mwana jf anayefahamu? Help
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kazi iliyobaki rahisi na tamu ni Ubunge tu!! Wakati Mwenyekiti wa chama Tawala CCM alipokimbiza muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi, leo CCM inazidi kujiingiza yenyewe kwenye tanuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF salaamu. Mimi si mwanasiasa, ila naomba ushauri/majibu kwenu. Kutokana na taharifa zinazotolewa na vyombo vya habari, pomoja na baadhi ya post ambozo zimewekwa humu JF, nimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, ZAMANI sana kulikuwa na bendi ya muziki wa dansi ya Kiwanda Cha Urafiki. Iliitwa Urafiki Jazz Band, wana Chakachua. Naam. Wanamuziki wale waliweza ‘ kuchakachua’ ala za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu-2010; haya maneno ya Justice Scalia yanamaana kubwa sana kwa wapiga kura wote: "[C]ampaign promises are—by long democratic tradition—the least binding form of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, kauli hii iliyowahi tolewa na Socrates PLATO, mmoja wa wanafalsafa bingwa wa kale wa Ugiriki,inatupa funzo lolote sisi wa Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama ‘front liner’ wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom