Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Here we go again :lying: LOL! and of course he knows he will be gone by then Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years 15:48, July 14, 2010 Tanzanian President Jakaya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa ujumla sielewi sheria gani zinachukuliwa mtu akitaka kugombea ubunge,Labda mtu yoyote yule anaweza kwenda kuchukua form na kujaza basi,Sidhani kama kuna sheria zozote zinaangaliwa kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ilirejea katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa mnamo mwaka 1992, toka kipindi hicho tumeshuhudia Chaguzi tatu 1995, 2000, 2005 na mwezi October 2010 tunatarajia kufanya Uchaguzi wa nne...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawapongeza wanachama 16, wa CCM waliopiga kura ya HAPANA,kwa JK wameonyesha ukomavu wa kisiasa, hiyo ndio demokrasia.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm, mara flora mbasha mara marlaw........ Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa.... But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ukiwa kama mwana JF ambaye unataka mabadiliko ya kweli kwa watanzania, leo hii JK anakuteua kushika wadhifa fulani serikalini au katika shirika la umma; je utakubali? Kama ndio au hapana, tupe...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari nilizozipata hivi karibuni ni kuwa kumbe JK alidanganywa na maafisa wa NICOL na kwenda kufungua kiwanda cha samaki Mwanza na baada tu ya kufanyiwa usaini wa kuonyeshwa process ya kuakata...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Mimi binafsi sijafurahishwa na vile Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulivyotumika kuwananga viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kwa kuitwa ‘mavuvuzela’...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKATI vyama mbalimbali vikijitokeza kuwania nafasi ya Urais, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakina papara ya kumtangaza mgombea wa nafasi hiyo mapema kwa kuhofia...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
MENEJA Uhusiano wa Benki ya NMB, Shyrose Sadruddin Bhanji, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuwa...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
The worst dictators named by US organisation THE SRI LANKA GUARDIAN, June 22, 2010. http://www.srilankaguardian.org/2010/06/worst-dictators-named-by-us.html A US organisation which prepared...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jamani Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa ukumu ya Naibu waziri Maua Daftrai kumlipa mdeni wake 100.7M aliyemtapeli. Je kwa hili anastahili kubaki waziri. Kosa ni wizi wa kujiaminisha.
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wana JF, Nilipita mikoani katika safari yangu na kwali niliyo yaona ni mengi sana esp. ktk kinyang'anyiro cha Ubunge kweli kuna makubwa sana mfano mtu yuko mwanza anataka agombee udiwani mwanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kuna siri gani nyuma ya pazia? Yaani ccj imeshindwa kutimiza masharti ambayo hata mtikila aliyaweza?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumai wakuu mpo salama, Kuna jambo limeanza kujitokeza nadhani linaweza kutishia mtaala wa elimu kwani limekuwa linakuwa kwakasi kubwa sana. Hili si jengine bali ni suala la tofauti baina ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nimeona kule kwa Michuzi kwamba eti Bunge la Tanzania limepewa msaada wa kompyuta, tena zenye thamani ya TShs Milioni 20 tu, toka kwa ubalozi wa Korea ya kusini!! ==============...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Muhibu Said 13th July 2010 Hii ni dalili kuwa kuna upungufu wa nakala za Katiba ya nchi na wananchi wana haja ya kujua katiba inasema nini hasa, ndio maana kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati kipindi cha maswali na majibu kikiendelea sasa hivi, Spika wa bunge Bw. SS alisitisha maswali kwa muda na kutoa kauli kwamba amekua akipokea malalamiko kupitia ujumbe kutoka kwa wabunge...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom