Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamani inakera ndio maana naona huu upinzani wizi mtupu na thaman kwako ukiwa ndani ya hicho chama ..naona lipumba kwenye tv ya tbc anawahadaa watu kuna rais alianza kugombea toka 1975 amepata...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kulifanyia kazi suala la mafuta kuwa la Muungano ama la ili kulitolea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I doubt if Mr president means what he is speaking. How comes he is fearing of 2015 while several matters currently are at alarting situation? just go throuth the article at JK ahofia uchaguzi 2015...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MBUNGE wa Kasulu Magharibi, Kilontsi Mporogomyi (CCM), leo anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Dodoma kwa tuhuma za kusababisha kifo baada ya kumgonga mtembea kwa miguu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wananchi wenzangu, wapiga kura, wapigiwa kura na wapigwa kura 2010. Kuna tetesi zimezagaa kwenye kitaa chetu hapa uswazi, na jamaa wananihakikishia kuwa wamepata nyeti kutoka White House zote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwaka 2010 Tanzania inaingia kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wake, kwa miaka mingine mi-5!! Wakati mwingine najiuliza sana nini umuhimu wa kujihusisha na uchaguzi wakati nchi hii haina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzania inahitaji Raisi mtendaji wa neno, si mchezaji, mnenguaji au mchekaji. Sina maana, kwa namna yoyote ile, kuwa mchezaji, mnenguaji au mchekaji, hafai kuliongoza Taifa letu, ila lazima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, nilimsikiliza mwenyekiti wa TLP, I was realy fed up!!! Jamaa nadhani amepukutika upstairs. Hivi anaweza kuwa ndiye Malaria sugu humu jamvini nini? Hivi akiingia bungeni kupitia (anakodai...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya Dr. Slaa kukaa kimya nimeona heri tumpe suport huyu ambaye anasema anafikiria kugombea. Haitakuwa mbaya sana tukimuonyesha moyo wa kuwa na imani na yeye baada ya kuvunjwa imani na CCM kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanaa JF, hebu nifahamisheni, nitamuitaje mgombea urais kama atachaguliwa wakati mimi binafsi sikushiriki kumpa kula yangu?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waandishi wakubwa wa vitabu,au watengenezaji wa filam huwa wanakuwa very carefull na title za fila za au vitabu zao.... sasa kila nikiutazama utawala huu wa Kikwete na Kikwete mwenyewe huwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
JK ndio ametoka kutangaza mgombea mwenza wa nafasi ya makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye ni: Gharib Bilal.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source Kwanza: 9 July 2010 50 views No Comment Na Manyerere Jackton, Dodoma TANGU mwaka 1996 nimekuwa nikiripoti habari za Bunge. Muda huu si haba. Ndio maana nadiriki kusema kwamba sijawahi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Greetings dear friends, the following report was composed by "another person" with whom we have no direct connection. In light of the fighter trainer accident that killed two Tanzania airmen last...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mongella: Sheria ya Gharama za Uchaguzi itekelezwe kwa umakini Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukerewe, Dk. Getrude Mongella, ametaka busara itumike katika kutekeleza Sheria ya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Takriban wiki mbili zilizopita, siku ya Jumatatu, kituo cha habari cha kimataifa, Al Jazeera, kilitangaza kipindi chake cha Witness Special, ambacho ni kawaida kutangazwa siku hiyo kila wiki...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Haya tena wanajamii CCM imetowa uamuzi utakaogusa mustakbali wa nchi kwa kumteua Dr. Shein kuwa mgombea wa urais wa sehemu moja ya Muungano (Zanzibar) Tulisikia mengi kutoka kwa wana CCM...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna tetesi kuwa yule dada aliyekuwa CEO wa New Habari Corporation Rosemary Mwakitwange ambaye pia anadaiwa kuibadilisha New Habari na kuweza kujiendesha kibiashara ameachana na kampuni hiyo ya...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Gazeti la habari leoiImeandikwa na Ikunda Erick, Dodoma; Tarehe: 9th July 2010 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Polisi wanawahamisha wapangaji kwa nguvu kwenye nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom