Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
I mean Ridhiwani. Maana anaweza akaukwaa Unaibu Waziri fulani hivi... I know you think I'm crazy..
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Ukiwasikiliza wengi wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za Ubunge wanatoa sababu za mambo gani wanataka kuyafanya kwenye majimbo yao (nimeandika kwa kirefu kwenye Mwanahalisi kesho)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kamtindo kwamba ukitaka Ubunge kwa haraka (chap chap) ni rahisi ukiwa mgombea wa CCM. Hii inaletea hata wale wenye mtizamo tofauti na CCM, huwa wananunua kadi na kutafuta ugombea Ubunge...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni week iliyopita ambapo Bunge la Kenya lilipitisha ongezeko la posho za wabunge wao. Watapata mshahara wa Ksh. 1.2 milioni (karibu Tsh 120 milioni) na allowance ya Ksh. 851,000 (karibu Tsh 8...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakati Rais Kikwete anaingia madarakani alijibebesha mizigo tisa,Je ni ipi kati ya aliyojibebesha wakati anazindua bunge la Jamhuri ya muungano pale Dodoma ambao ameweza kuufikisha panapotakiwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Viongozi UWT matatani kuzipokea (kadi feki) Simanjiro kadi feki zawatokea puani Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
WAKATI kinyang’anyiro cha urais wa Zanzibar kikizidi kushika kasi, mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mohamed Aboud Mohamed, amepigwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti habari ya kuwepo kwa kadi feki ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM. Nimekuwa nikizitafakari habari hizi bila kuelewa ni wapi hasa tunakoelekea na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau mimi nashindwa kupambanua baadhi yavitu kwamaana nakuwa sioni logical!Kwa mfano mbunge anapokuwa amechaguliwa na chama chake inabidi akawatumikie wananchi wake jimboni na baadhi yamambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIDEO YA KUAGWA MASHUJAA Na. M. M. Mwanakijiji Sikutaka kutoa maoni yoyote kwa siku kadhaa nione kama watawala wetu wanatambua kuwa vifo vya wanajeshi wetu wakiwa kazini ni kitendo cha kishujaa...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Kizitto Noya, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeitaka serikali kutoa tamko kuhusu tuhuma zinazomkabili mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara (Tanroads), Ephraem Mrema kwamba mkataba wake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Piga Kura Ingia Nani atakuwa Rais wa awamu ya sita Zanzibar? Dk Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal Ali Juma Shamhuna Shamsi Vuai Nahodha Ali Abeid Amani Karume Mohamed...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Asha Bani - Tanzania Daima CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kutumia vikundi mbalimbali vya sanaa na bendi 30 ambavyo vimetunga nyimbo za kuhamasisha wananchi kumpigia kura Rais Jakaya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
RAIS Jakaya Kikwete amezindua mradi wa Bwawa la Manchira lililoko wilayani Serengeti wakati tayari wananchi wamekwishafungua kesi Mahakama Kuu ya Mwanza wakidai fidia. Kesi hiyo iliyofunguliwa ni...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
DK. ALI MOHAMED SHEIN KUZALIWA Dk Ali Mohamed Shein alizaliwa tarehe 13 Machi 1948 katika kijiji cha Chokocho kilichoko Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Dk Shein ameoa, ana...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Printer-friendly versionSend to friend Ni ikiwa hatamteua kugombea urais Zanzibar Mabilioni yamwagwa kutoka Uarabuni Mbunge Rostam Aziz ahusishwa Dk. Mohammed Gharib Billal RAIS Jakaya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
B.W.Mkapa, kachaguliwa kuwa mjumbe wa katika hiyo taaisisi ya kimataifa ya kukabiliana na migogoro akiungana na wajumbe wengine 14, venye rekodi imara kitaaluma na utendaji. mnyonge mnyongeni...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kamati Maalumu ya NEC ya CCM imeanza kikao chake muda mchache uliopita hapa Zanzibar, Kisiwandui. Kikao hicho kitachagua wana CCM watano kwenda Kamati Kuu na baadaye NEC. Majina yanayotajwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
4th July 10 JK asisitiza barabara na uwanja wa ndege kujengwa George Marato Rais Jakaya Kikwete, amesisitiza kuwa miradi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Mugumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watatu wabanwa kwa hoja nzito, wajitetea Wengine wapata mteremko wa kujieleza Walihojiwa chini ya ulinzi mkali wa dola Waziri Kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom