Wana JF
Raisi wetu kila siku anatoa vioja, hivi ni afunike zaidi au adidimize zaidi. Ninahakika hapa hakumaniisha alichosema.
source: HabariLeo | Nipeni mitano mingine 'nifunike' zaidi-Kikwete
Tanzania zaidi ya uijuavyo, inaonyesha watanzania kampeni za namna hii ndiyo unawapata. Kwa kumbukumbu Raza si wa kwanza kuahidi kusacrifice mshahara wake!
Raza: Mshahara wa urais nitawapa...
Wana JF,
Katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu kama ifuatayo:
KASI ZAIDI
NGUVU ZAIDI
ARI ZAIDI
TULIAHIDI...
jana wakati natazama taarifa ya habari ITV niliona hayo maaandishi kwa chini kuwa Jakaya sasa ni PhD holder. wadau mtuambie, since when? au ndio zile za online? au ndio zile za heshima?
Mgombea pekee wa urais CCM
HAKUNA shaka kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ndiye mteule wa CCM atakayegombea urais baada ya kuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu na ambaye anazirejesha kwa mbwembwe...
Jamani huyu akifukuzwa CCM atabaki mbunge gani tena, au ndiyo YES men and women watabaki???????? Tafakari
SIKU moja baada ya Spika wa Bunge, Bw. Samuel Sitta kupata tumaini jipya kwa kuungwa...
Habari nimerushiwa kuwa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ,kinachoendelea akutoshi kati ya makundi ya waliotangaza nia ya Uraisi zenji na mafisadi wa bara.
Ebu leteni data mlio karibu na...
Ilikuwa katika mkutano wa hadhara wiki iliyopita hapo Dar. Lakini wao watafanya nini na Panya, kwa vipi na kwa muda gani wakiingia madarakani? Isije kuwa na wao wataamua kukaa vikaoni na panya na...
Jana iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Mr II atawania ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya CHADEMA, na jimbo analowania ni Mbeya...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL LF LAW
(FORMERLY FACULTY OF LAW)
STAFF SEMINAR ON THE COURT OF APPEAL DECISION IN
HON ATTORNEY GENERAL v. REVEREND...
Thursday, 01 July 2010
Na Yusuph Katimba, Dodoma
Majira
SERIKALI imesema inachunguza tuhuma zinazomwandama Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Bw. Ephraem Mrema yakiwemo madai ya kuendelea kubaki...
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Juni 30, 2010
Watakiwa kujieleza kabla ya uteuzi
Wengi wahofia kukatwa majina
WABUNGE 275 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameagizwa kuandaa taarifa za utendaji wao...
Serikali iko katika hatua za mwisho kutekeleza majaribio ya mpango wa pensheni kwa wazee wote nchini wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea bila kujali kuwa walikuwa watumishi serikalini au...
Kwa mlioona yule mwanafunzi wa form 3 ambaye aliamua kupanda kwenye nguzo ya umeme pale Ubungo kwenye mataa akilalamika uongozi mbovu wa serikali ya Kikwete hauna demokrasia inayostahili...
NIMEONA HABARI YA MTOTO KWA RAIS KIKWETE KUPATA UWAKILI KISHA RAIS AKAFANYA SHEREHE YA KIFAMILIA IKULU TENA AKITUMIA NEMBO YA TAIFA/SERIKALI/STATE KWENYE KADI YA MWALIKOAMBAYO INAMAKOSA YA KITOTO...
Wanabodi,
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni asubihi hii, imedhihirika kumbe Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, haitumiki Zanzibar hata katika...
Najua kipindi hiki cha uchaguzi wasanii wetu wa vikaragozi watatufundisha mengi na kutupa burudani safi kuhusiana na uchaguzi kwa kutumia vikarosi. Ninaomba thread hii itumike kutunza vikaragosi...
baada ya malalamiko mengi dhidi ya mwanae Januari na kutokubalika katika jimbo la bumbuli, Mzee Makamba amedokeza huenda akaamua kuingia mwenyewe kwenye ulingo...mzee Makamba alinukuliwa akiyasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.